Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #41
inakuaje unampga Gonzaga Mkwala?
poa. Ila kuwa makini sana arifu
Daddy we naye mpana ka nini... Afu mbona umenichunia bintiyo?????
Baba V pole sana
Ukiingia jukwaa la siasa uwe na moyo kama wa mwendawazimu maana ban haichelewi
Daddy we naye mpana ka nini... Afu mbona umenichunia bintiyo?????
Hivi kumbe ukibishana na mtu ndo unapewa ban??Siasa zimemponza Baba V , kuna thread nilimuona alikuwa anabishana na akina mwigulu ndo itakuwa kaharibu kule
Usitake kunitafutia Ban kwa name calling!
Ninakijua ninacho kiongea!
Nyie watu . . . .why lakini???Yap yap nw nipo makini,
Na kwako pia!Kipipi Jioni Njema
Pumzsha ID moja.. Thread 1 unatumia ID zote jamani? Angalia yasikukute ya Mary
Jamani jamani this is not fair we Nicas Mtei iko penda sana shupalia noahism kwa nini lakini?uamuzi wake jamani na karibia wengi tunajua id zake zote 4 sababu hatumii vibaya.
Hata kama hajasahau kakusudia kutumia zote 2 uamuzi wake hajavunja sheria yoyote.
Muache apumuweeee