JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Come again mkuu, hujasomeka hapo
Kwanini mwaongea bila proof??? Atleast act like GT's
jamaa amekopi na kupesti kwa Nicas Mtei ... Haja shirikisha kiwazio chake
Bila proof?
Nina ushahidi wa kimaandishi!
Usitake kunitafutia Ban kwa name calling!
Ninakijua ninacho kiongea!
Haya mkuu.. Umesahau jnc unavyohadaa watu? Kwi kwi
hahahaha. Kumbe alikuwa anabshana na Kigulu Chemba?
Come again mkuu, hujasomeka hapo
Umechanganyikiwa na Shenazi nini? Na mie nimeanza dozi aisee
Kwanini mwaongea bila proof??? Atleast act like GT's
Bila proof?
Nina ushahidi wa kimaandishi!
Nimesahau sahau, basi nikaushie kidogo kwanza
Usitake kunitafutia Ban kwa name calling!
Ninakijua ninacho kiongea!
Anatamani ban huyo we muache, angejua ninavyo wachukia wageni akijichanganya tu razima nimlipulie mbali
mi naona vijana wanakata stimu ngoja nikapashe tena :majani7:
ngoja nicheke kama binti yangu...teh! teh!