Andindilile
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 289
- 145
Hapo sasa umenena maanake nilifikiri labda hutaki kisa kaka vincent!!!mzima weye????????
Si ameona hautulii ndio maana na we haya tu we endelea tu na hiyo tabia yako sasa hivi naona unaanza kummendea mimisa wa watu,haya mi simo ngoja Suprise akirudi mi tu nitakuwa refa.Mie sijambo kaka!
Suprise anajua ninampenda nae alikua ananipenda sana, toka nilivyo muaga.. Nae kapotea moja kwa moja..
Mi niko poa sana mkuu..
Nkwara tu huo nsee, wantishia na hiyo "maiji gamae" sijui... hunipati, nina medali hamsini za dhahabu za mbio za kukwepa vipigo kwa mwendo mtoroko
Stuka, stuka, cc "miswati" imekuwa mingi sana, kimbia.
hapna..
aaah! Haya safari njema my wife Rich woman ananipenda na ananivumilia kwasababu
mimi uvumili kwa wasio watulivu kama ww,sinaga...
Rich woman Suprise...njooni uku jaman
Kaka maandisi madogo hata sioni sijui umeandika nini vile
Utanipenda tu, utake usitake
Utanipenda tu, utake usitake
Ehhhh Mhhhh kweliiiii!!!!!! masikini pole sana mdogo wangu naona utakuwa unaumwa macho,ngoja nitakununulia miwani ya macho mwaka kesho ili upasome vizuri sawa ehhhh?