Baba mkwe, mahari hii imenishinda

Noma sana!
 
Pole sana mkuu.
Mimi nilitajiwa mahari 2.6m ila nilipiga "kiswahili" kwa muda wa dk 45 hadi nikaeleweka tukafikia 800k, nikalipa 500k, mpaka sasa bado nadaiwa 300k na maisha yanaendelea na watoto 4 tayari
 
Mi nilitajiwa mahari + makorokoro m6 nilishaachana nae maana nilimwambia sina pesa hizo, halafu wachaga bana wanawake wenyewe ufundi 0% tuoe zile flat zao au nini?
😆😆😆😆😆
 
Umepanick tu kama mleta mada, ungetulia vzr ungemjibu vema kuliko ulivyomjibu hapa
 
Mpaka uzeeni? Du hii kali! Kisa ?
 
Acha uzushi mjomba. Wachaga kibao wamezalishwa mjini na mabaharia na hamna cha ndoa wala mavi ya ndoa. Mnajiona spesho sanaaa! Mademu watu tunawafyatua sanaaa tu..mchaga koko ni wa aina gani?
Watamrudisha tu kwa jamaa kumkabidhi, ni mwiko mtoto wa kichaga kuzaa kabla ya ndoa. Labda wawe wachaga koko ila wale OG hawakubaligi binti azae kabla ya ndoa.
 
Acha uzushi mjomba. Wachaga kibao wamezalishwa mjini na mabaharia na hamna cha ndoa wala mavi ya ndoa. Mnajiona spesho sanaaa! Mademu watu tunawafyatua sanaaa tu..mchaga koko ni wa aina gani?
Kama hao wa mjini mnaowazalisha hovyo hovyo.
 
Uliwapa laki mbili na 80 kama pesa ya maandalizi?
 
Came down mkuu,huu mchezo hauhitaji hasira,pia ni kipimo how matured you are,bt mwisho wa siku utapenya tu.
 
Hiyo hela hata mimi sitoi aisee.
Maari 5M
Bado ujaweka gharama za harusi hapo.
Wamuoe wenyewe
Io 5m mikoa ya Pwani unaoa wake zaidi ya 50. Na wanajua kupika chakula cha mchana na usiku vizuri.
 

Kingsmann nimejiskia kukwita tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mahal 5 milion.... hiyo hata waseme mahali haimaliziw sitoi kamwe.... sababu dawa ya deni ni kulipa..
Itafika siku itabidi uimalizie.... utaweza kutoa yote?....

Hapo majukumu mengine bado....
 
Mahali nilitoa laki4, harusi nilichangia 1M michango ya wahisani 3M. Nilifanya harusi Dar es Salaam it was simple na nikabakiwa na change ya laki5 baada ya harusi. Watu Walikula wakasanza. Tu kavunja kamati na bado mabaki yalikuwa kibao. Hii ilikuwa 2011 nimemaliza chuo kikuu. Hadi sasa nipo na mke wangu we live happily life
Hiyo hela hata mimi sitoi aisee.
Maari 5M
Bado ujaweka gharama za harusi hapo.
Wamuoe wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…