Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,449
- 10,761
Kiongozi naomba ufafanuzi kidogo japo swali langu namba 6 umesahau kujibu. Namba 1 umesema umekaaa nae kinyumba mwaka mmoja na mwaka mmoja huo huo akapata mimba!! Mtoto ana miezi mingapi? Haukuwahi kuwa na urafiki nae kabla ya kukaa nae pamoja. Mvua hizi za masika ngoja nikaanze kulima.1.Nimekaa naye mwaka mmoja
2.Naamini aliupatia kwangu japo mwenye uhakika ni yeye.
3.Ukaribu wake na baba yake siufahamu unafikia wapi
4.Sina ukaribu na baba yake tofauti na ambavyo nilienda kujitambulisha.
5.hakuna shida ila ni ishara ya dharau, mimi nimeshatoa jina tena mtu mwingine anataka abadilishe
Sent using Jamii Forums mobile app