Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Wewe ni askari polisi.Siku moja mkiwa kazini na wenzio wanne,mnalikurupua jambazi,mnakimbizana nalo,linaishiwa nguvu na kuzama katika kijumba kisicho ishi mtu.Wewe ndo una pingu,wenzio wanapiga doria nje,unalizamia ndani ili ulitoe lakini unagundua jambazi mwenyewe ni baba mkwe wako!Je utachukua uamuzi gani?