Baba mkwe anataka kunioa

Kataa kabisa kuolewa na baba mkwe...

Utaanzisha uhasama na chuki zisizokuwa na mpangilio plus nuski na mikosi juu yake...


Cc: mahondaw
 
uwiiii ni laana iyo kata mawasialiano kabisa hana adabu uyo
 
Umesema wewe na Wazazi wako MKA AMSHA POPO??? Basi kama huna adabu hata kwa kuwaheshimu wazazi wako basi Mpe tu Baba Mkwe haina shida
 
Acha kutafuta matatizo dada..kumbuka familia iliyosema ndoa yenu ivunjike ni hyohyo ss ukiolewa nae mkipata changamoto utaomba ushauri wapi
Alishindwa kuwapatanisha yeye kama mzazi
Jee sasa ivi ndio ataweza kujipatanisha mwenyewe mkigimbana


Mambo mengine hata si ya kuomba ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ni aibu
Utapita wapi, uyo baba mkwe ni weak sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quran inakataza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga hizi
tabia zenu mtaziacha lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…