Baba mkwe anataka kunioa

Olewa naye umkomeshe mumeo kwa kusikiliza maneno ya watu! Yeye alivyokuacha alitegemea nani awe anakududua?
Na akishaaanza kukududua niambie nikuletee khanga yenye maneno, 'Ulichokiacha wenzio wanakifaidi', umvalie mumeo wa zamani...
 
Hahahah.... acha janja ya nyani, eti ukashitaki kwenye ukoo. Nakuona unavyomezea mate hii nafasi ila nikutahadharishe ukija ukakubali umeliwa na utaamsha yaliyokuwa yamelala na kingine hata hilo DUME (la ng'ombe, mbuzi au Temba?) ulilosema itakuwa ni majangaaaaaaa.....
 
Anataka kuchenjua makinikia ya mwanae πŸ˜€πŸ˜€
 
😱😱😱😱😱😱😱😱😱
 
Kama mumeo ni mjinga hakupima vyema za kuambiwa ajachanganya na zakw olewa ikiwa tu ana mpunga ule vya ukoo mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…