Baba mdogo anakula kitimoto hadharani

Unaumia?
 
Huyo aunt


Kama nilivyosema %95 ni kristo, kwao tunaendaga na vyombo tunashare
 
Mkubwa hakosei we ni vitu haramu vingap unatumia mpak uanze kumkosa baba yako mdogo, kope za bandia mawingi yabandia, rangi za kujiremba zote haramu,bado unazini ujaolewa haramu, yani uwezi mkosoa mwache afaudu nyama pendwa
Wenzako wanasafisha kikombe nje na wanakitumia usijifananishe na wewe ulieamriwa kusafisha kikombe ndani kwanza na usafishe na nje ndipo utumie ukiona tofauti hapo hutapata shida kwa hao wadau wa upande wa pili.
 
Nimewai mililini ofc singida mjini nimewalisha baadhi ya waislamu kitimoto haswa Tena nawafahamu wote
 
Sasa binti yangu ndiyo umeamua kuja kunishtaki huku kweli! Si ungeniambia tu ana kwa ana! Kwa hali hii nikiondoka hapa kwenu, sitarudi tena.

Bora nikija kwenye mishe zangu nipange tu guest.
Unisamehe tu


Leo naona umeenda kula bandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…