Baba mdogo anakula kitimoto hadharani

Sasa wewe huli,akitumia yeye hapo kuna dhambi gani??
Au unaogopa ile harufu itakutamanisha na kukupelekea kuwa mtumiaji pendwa wa mdudu?
 
Onja tu ni tamu balaa, najisi ni kile kitokacho na si kiingiacho

Wewe tu ndio umechelewa wenzio wanapiga kama kawa
 
Hebu onja finyanga moja utamuelewa baba mdogo. Ulipo mpokelea Ile harufu haikukufanya udondoshe mate?
Wewe onja utaniambia, mhaya mwenyewe anakuambia senene Ni takataka mbele ya kitimoto.
we jamaa ni mkorofi sana ujue.
 
Mkubwa hakosei we ni vitu haramu vingap unatumia mpak uanze kumkosa baba yako mdogo, kope za bandia mawingi yabandia, rangi za kujiremba zote haramu,bado unazini ujaolewa haramu, yani uwezi mkosoa mwache afaudu nyama pendwa
 
Mkubwa hakosei we ni vitu haramu vingap unatumia mpak uanze kumkosa baba yako mdogo, kope za bandia mawingi yabandia, rangi za kujiremba zote haramu,bado unazini ujaolewa haramu, yani uwezi mkosoa mwache afaudu nyama pendwa

  • Nani alikuambia mkubwa hakosei??? inanikumbusha msemo flani wa kizaramo unasema " Hata wajinga huzeeka hivyo sio kila ushauri wa mzee ni mzuri"
  • Yaani kwa kuwa kuna makosa ulifanya basi ukaribishe makosa mengine? hoja nyingine ni za kutia Aibu!
 
Pombe ni kharam kuliko huyo pua bapa.

Acha kunyanyapaa mboga bana
 
Niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja wa kiislamu miaka ya ujana wangu. Mwanzoni wakati namtongoza alinikataa kwasababu eti nakula kitimoto, sikumkatia tamaa nikaendelea kumbembeleza siku akakubali tukazana penzini.

Baada ya kumbanjua kwa zaidi ya mara tatu akakolea penzini ,siku moja akanitembelea geto akanikuta nimepoa poa sinachangamka ,kuniuliza nikamwambia nina hamu sana ya kula kitimoto sijala muda mrefu ....... Akaenda kuniletea nikala kisha yaliyofuata baada ya pale ni historia.

Mbeleni naye alianza kula mdogo mdogo haadi alipozoea na hadi sasa ni mlaji mzuri tu wa kitimoto japo anakula kwa kujificha sana.

Hizi dini ni mapokeo toka kwa waarabu na wazungu lakini zinatupelekesha utafikiri ni asili yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Onja kidogo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…