Hiyo hakika mimi sijaiona, nilichoona hapo ni maneno ya wazazi yasiyo na chembe ya hekma! Inatia aibu na ni aibu kwa Mbasha kuwa na wazee kama hawa!
Hivi kesho ikatokea Mbasha na Frola wakarudiana, hawa wazazi watajificha wapi??
Afadhari umejinasua kwenye hilo tego dada Frola, maana kama ushauri ndio mlikuwa mnaupata kwa huyu mzee ndio sishangai kwahaya yaliyotokea, huenda BRO Maneno ndio aliemshauri BRO Emma apige tu shem.
Usikie hivyo hivyo yasikupate ......