Baba Mbasha: Flora alichoka kuishi na mwanangu

Sina hamu na makanisa ya kilokole, yaani siku hizi nimesimama mimi kama mimi.

Kwani Makanisa ya kilokole ndio yanayofundisha mafarakano au waumini wameruhusu mlango kwa ibilisi. Inaweza simama wewe km wewe na ukashawishika na ibilisi but do not 4get u need support from your fellows in order to grow up spiritually
 
Ama kwa hakika, mzee Maneno kanena tena kwa yakini kabisa. Hivi kumbe kuimba nyimbo za injili siyo ishara kwamba mtu keshampokea bwana kiukweli na kuachana na maovu! Ikiwa mzee Mbasha alivyoongea ni vya ukweli na kweli tupu, basi Flora ana laana. Halafu niliwahi kuona ktk mitandao mdogo waki akifanya ngono na Mrisho Ngassa wa Yanga. Ama kweli kunguru hafugiki

Ni kwel mkuu google tu utamwona ngassa akimgegeda
 
wanamtesa mtoto wao tu ambaye anahitaji sana malezi ya baba na mama.
 
Flora Mbasha.jpg

Masikini Flora Mbasha, anahitaji maombezi
 
Nani alikuambia uhame uende kwenye makanisa ya kilokole, acha mchepuko baki ulipo, Yesu Kristo hatafutwi kwenye makanisa
Nitakwenda kwenye mikutano ya injili inayoandaliwa na walokole, nitachukua nitakachoona kinanifaa kwa imani yangu katika mahubiri yao, jumapili kiti cha kwanza ndani ya Lutherani yangu tena misa ya kwanza

Sina hamu na makanisa ya kilokole, yaani siku hizi nimesimama mimi kama mimi.
 
Ama kwa hakika, mzee Maneno kanena tena kwa yakini kabisa. Hivi kumbe kuimba nyimbo za injili siyo ishara kwamba mtu keshampokea bwana kiukweli na kuachana na maovu! Ikiwa mzee Mbasha alivyoongea ni vya ukweli na kweli tupu, basi Flora ana laana. Halafu niliwahi kuona ktk mitandao mdogo waki akifanya ngono na Mrisho Ngassa wa Yanga. Ama kweli kunguru hafugiki
Mkuu, hawa ni WASANII sawa na wanamuziki au muvi tu. Ukweli wa kile wakisemacho/tendacho ni kidogo sana.
 
Sina hamu na makanisa ya kilokole, yaani siku hizi nimesimama mimi kama mimi.

Acheni kuhangaika na makanisa.Kanisa la kweli ni Kanisa katoliki tu. Hakuna miujiza ya kudanganya watu. Nenda kwa Mwingira pale Efatha utaona mambo ambayo yatakushangaza sana.Hakuna Mungu ndani yao.Mimi pia ni mmoja wa watu waliokuwa vipofu wa kudhani hawa watu wa maknisa ya kimiujiza ni wanafanya kweli kumbe ni uhuni mtupu.Sijawahi kuingia huko lakini huwa nawafuatilia sana.Mwaka huu niliona pale Efatha jinsi watu wanavyowekwa upofu wa akili. Yani sina hakika kama hawa wafuasi wao wana akili ya kutambua yaliyojificha nyuma ya makanisa haya.
 
Nani alikuambia uhame uende kwenye makanisa ya kilokole, acha mchepuko baki ulipo, Yesu Kristo hatafutwi kwenye makanisa
Nitakwenda kwenye mikutano ya injili inayoandaliwa na walokole, nitachukua nitakachoona kinanifaa kwa imani yangu katika mahubiri yao, jumapili kiti cha kwanza ndani ya Lutherani yangu tena misa ya kwanza
Binadamu tunatofautiana mno, kuna wanaofanya 'shopping' kila duka atafika hivo hivo katika kanisa wapo wanaofanya 'shopping' hiyo.
 
Acheni kuhangaika na makanisa.Kanisa la kweli ni Kanisa katoliki tu. Hakuna miujiza ya kudanganya watu. Nenda kwa Mwingira pale Efatha utaona mambo ambayo yatakushangaza sana.Hakuna Mungu ndani yao.Mimi pia ni mmoja wa watu waliokuwa vipofu wa kudhani hawa watu wa maknisa ya kimiujiza ni wanafanya kweli kumbe ni uhuni mtupu.Sijawahi kuingia huko lakini huwa nawafuatilia sana.Mwaka huu niliona pale Efatha jinsi watu wanavyowekwa upofu wa akili. Yani sina hakika kama hawa wafuasi wao wana akili ya kutambua yaliyojificha nyuma ya makanisa haya.

Wachungaji wengi qa kilokole ni wawekezaji waliomua kuqayumbisha kondoo wa kwa manufaa ya matumbo yao ndo maana mchungaji anayembelea vogue wakati waumini hawana hata baiakeli.
Wanatumia mwanya wa ufukara wetu kufanya miujiza ya kishirikina ili kutuvuta watu.Hawana cha kuhubiri zaidi ya mari na miujiza.
SEMENI YOTE LAKINI NABAKI NA UKAOLIKI WANGU.
 
Mbona ktk hawa wazazi wa Imma sioni mwenye jina la Mbasha? Au ni wazazi washenga tu sio biological parents.
 
Mkwe wa Flora bwana Maneno ana hekima sana na mkewe pia. Hakika Flora ulipo, laana itakutafuna. Mwanamke huwezi kuwa na roho ngumu kiasi hicho. Hebu chukua hata mfano wa Bill Clinton na Hilary, waliishi wakaweka mbali matatizo makubwa waliyopata kama familia. Na ninakumbuka sana kuwa Hilary alisema kuwa " My husband is very handsome, every woman would admire to have him". Na popote alimtetea huku akisema Jurry itafanya kazi yake, alikataa media kabisa. Wewe Flora ni nani hata umwaibishe mumeo kiasi hicho. Kwa namna ambavyo umeliendesha hili tatizo inaonekana kabisa ulimchoka Imma. Ninamwomba Mungu HIV ikupate na uugue upate mateso makali na madonda kushinda yale ya Ayubu!! Huna adabu mlolole mnafiki!!!
 
Baba wa Mbasha kanitia simanzi huyu..hasakitendo cha flora kumtelekeza stendi ya mabasi ..kweli kama mmechokana kila mtu ahike lwake mpeane talaka..manbo ya kusingiziana tuhuma sio fresh
 
Mkwe wa Flora bwana Maneno ana hekima sana na mkewe pia. Hakika Flora ulipo, laana itakutafuna. Mwanamke huwezi kuwa na roho ngumu kiasi hicho. Hebu chukua hata mfano wa Bill Clinton na Hilary, waliishi wakaweka mbali matatizo makubwa waliyopata kama familia. Na ninakumbuka sana kuwa Hilary alisema kuwa " My husband is very handsome, every woman would admire to have him". Na popote alimtetea huku akisema Jurry itafanya kazi yake, alikataa media kabisa. Wewe Flora ni nani hata umwaibishe mumeo kiasi hicho. Kwa namna ambavyo umeliendesha hili tatizo inaonekana kabisa ulimchoka Imma. Ninamwomba Mungu HIV ikupate na uugue upate mateso makali na madonda kushinda yale ya Ayubu!! Huna adabu mlolole mnafiki!!!

Mkuu usilaani. Mungu wetu ni mwema anaturehemu makosa yetu
 
miaka kadhaa iliyopita aliachia kibao hiki: Maisha ya Ndoa

Sijui kama bado anakisikiliza.

Huu wimbo wameufanya vice cersa..sasa watoe re mix yao inaopinga walichoimba mwanzo
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ukiwa tajiri wanakula , ukiwa maskini wanakula ile mbaya.
 
Pamoja na yote tuelewe kwmb dunia ni uwanja wa fujo. Toka unapozaliwa ujue ndo umekuja kufanya fujo. Siku zote utakazo kuwa hapa dunian ujue upo kwajili ya kufanya fujo. Mpk siku ya kufa ndo mwisho wa kila mtu kufanya fujo umekishwa. E.KEZILAHABI.
 
Mbasha na Flora wote walichokana asipende kuegemea upande mmoja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom