Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,528
- 1,920
Hakuna kuachana kuzuri wewe!Kuachana kwa hivyo siyo kuzuri.
Hakuna kuachana kuzuri wewe!Kuachana kwa hivyo siyo kuzuri.
Kuhusu Flora Mbasha naomba niseme ukweli, nilishawahi kugombana na mlokole mmoja siku ya kwanza tu kumuona akiimba kwenye mkutano wa The Big November Cruisade pale jangwani. Nilisema pale hakuna mlokole, ndipo yule mama wa kilokole alipoanza kunishambulia bila kujua kuna mlango wa fahamu wa 6 ambao huona hata kilichojificha hata kwa miaka ishirini ijayo...
Mkuu grafani11.
Umenena kweli lakini si kweli yote.
Madhaifu uliyoyaona ni sehemu ya changa moto katika uokovu na makanisa. Kweli maadili yameshuka.
Lakini elewa hiyo ndio unabii uliyosemwa na Yesu. Kwamba nyakati za mwisho, watu watapenda pesa, anasa, zinaa na yanayofanana na hayo.
Hivyo hilo linatakiwa kukufanya kumtafuta Mungu zaidi, kwani alichosema kimetimia na kinadhihirisha neno la Kristo, Ndio Kweli, Uzima na Njia. Siyo kuikimbia kweli na kuenda mbali na injili.
Kweli safari ya wana Israel walipotoka Misri walikuwa mamilioni, lakini kwa ukaidi na kupenda mambo ya kumuasi Mungu, mamilioni walifiia jangwani.
Suala la Flora na mumewe ni kielelezo kwamba , yeyote anaweza kuanguka akiliacha neno la Mungu.
Biblia inatuambia, ni jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Ni kwa kutii Zab 119.9. Utii kwa neno la Mungu , ndio njia pekee ya kujilinda na vishawishi vya dunia.
Hakuna usalama nje ya kanuni za Mungu, ambazo zimo ndani ya neno.
Besti yaani siku hiyo huyo mama alinishambulia mpaka akawa anatoa mapovu, kisa eti nimesema Flora Mbasha si mlokole, natamani tungekuwa wote tumpe vipande mpaka azimie.... Ni kweli kabisa pale hakuna ulokole, wala kwa Rose Muhando hakuna zaidi sana ni skendo za kuchukua waume za watu kila kukicha....sasa mwana naona umeanza kuleta majanga nani amekwambia waimba nyimbo za injili wameokoka wengi wao hawajaokoka wanafanya biashara tu hakuna ni wachache waliokuwa walokole wengi wao WANAGANGA NJAA tu ili wapate pesa best hivyo walokole waliokoka wako sana na tena sana ila wako wale wanaojiingiza kuharibu kondoo wa Mungu na kulitukana jina la YESU hivyo kuwa makini bestito ndo mana maanidiko yanasema kuwa sio wote watakaomwita BWANA wataingia katika ufalme wa Mungu hivyo kuhusu waimbaji au wanamuziki wa injili wengi wanafanya biashara tu hakuna cha ulolkole ndani yao ni wachache tu katika 20% nadhani ni kama 5% ndo waliokoka wengine wote ni matapeli na wafanyabiashara tu wewe nunua kanda zao sikiliza ila usifuatishe maisha wanayoishi si unaona mwenyewe mwimbaji mmoja anayetamba siku hizi na kibao chake cha fb anapokwenda kurekodi ni lazima kwanza aonje kisha ndo akapate stimu ya kuruka sasa hapo kuna ulokole kama sio kuchafua dini za wenzao best hakuna chochote kaibisa wanatafuta pesa tu hao ili watoke na watatokaje ndo hivyo akina flora mbasha wanatafuta umaarufu kwa kuchafuana ndani ya ndoa zao hakuna chochoe bestito sijui umenasa hapa
Sasa si ana tuhuma za kubaka, kwani alimbaka flora? Ajibu tuhuma mahakamani
Besti yaani siku hiyo huyo mama alinishambulia mpaka akawa anatoa mapovu, kisa eti nimesema Flora Mbasha si mlokole, natamani tungekuwa wote tumpe vipande mpaka azimie.... Ni kweli kabisa pale hakuna ulokole, wala kwa Rose Muhando hakuna zaidi sana ni skendo za kuchukua waume za watu kila kukicha....
Flora tapeli tu
kuna mwaka alikwepo singida mjini,pale kanisa la roma,alikuwa akizindua album yake km sikosei
kabla ya kuimba akasimama jukwaani na kuahidi eti atajenga hospitali,aliongea kwa bashasha kweli,yapata miaka karibu mitano sasa hata kiwanja hajapata
flora ni tapeli tu,hata sura yake inajieleza
hao ndio walokole wasiokunywa pombe na kuvuta sigara kwamba ni dhambi pyuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! karibuni RC mrudi kundini
wanamtesa mtoto wao tu ambaye anahitaji sana malezi ya baba na mama.
Hii inaitwa ukimwaga ugali mie namwaga mboga, huo muda aliokimbilia kwenye vyombo vya habari angetumia kukutana na wazazi wenzake kuangalia namna ya kutatua tatizo unless kama wameamua kupiga chini moja kwa moja hapo hata wakiongea inakuwa poa
walimtuhumu amewaibia sh.laki tatu 300,000 wakaingia kumpekua vya kutosha,mzee chozi likamtoka,akasema "usanii wenu wa kujifanya mmeokoka iko siku mungu ata......"laana ipi tena?
Halafu yaani ndoa tokea 2002,wana mtoto mmoja tu.Ila mkwe wake inaonekana anataka ndoa iendelee,najiuliza kwa nini Flora hataki ndoa?si aliapa mpaka kifo kiwetenganishe