Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,037
- 60,223
Hata wakati wanaoana mbona Imma alikuwa kapuku tu,tena hadi familia ya Kulola ilikataa,sema Flora alimpenda Imma hivyo hivyo.Leo wana mali,sidhani kama mali za Gwajima zinaweza kumzuzua FloraHataki ndoa kwa sababu mumewe hana kitu na GWAJIMA ana mihela kibao.....baaaas