Baba Mbasha: Flora alichoka kuishi na mwanangu

Baba Mbasha: Flora alichoka kuishi na mwanangu

Flora anawaibisha wanawake wote Tanzania, wanaopeleka mambo kiajeji
 
Mama mzazi wa Flora alimfukuza nyumbani mume wake wa ndoa na mpaka sasa haishi na huyo mumewe....kwa hiyo mtoto kaiga kwa mama kwa style nyingine
 
Kuhusu Flora Mbasha naomba niseme ukweli, nilishawahi kugombana na mlokole mmoja siku ya kwanza tu kumuona akiimba kwenye mkutano wa The Big November Cruisade pale jangwani. Nilisema pale hakuna mlokole, ndipo yule mama wa kilokole alipoanza kunishambulia bila kujua kuna mlango wa fahamu wa 6 ambao huona hata kilichojificha hata kwa miaka ishirini ijayo...

Frola hakuwahi kuwa mlokole ila alitumia kivuli cha ulokole na nyimbo za 'dini' kama njia ya kupata umaarufu na mafanikio... uvaaji wake na kujipodoa kwake hasa ile style ya kutinda nyusi na kuweka wanja mreefu juu kabisa ya macho viliwakilisha uchangu zaidi kuliko uchaji kwa Mungu. Kwangu mimi uso wa Flora ulikuwa uso wa ibilisi
 
Hii inaitwa ukimwaga ugali mie namwaga mboga, huo muda aliokimbilia kwenye vyombo vya habari angetumia kukutana na wazazi wenzake kuangalia namna ya kutatua tatizo unless kama wameamua kupiga chini moja kwa moja hapo hata wakiongea inakuwa poa
Uchungu wa mwana aujuae ni mzazi.
Utapatana vipi na pspa linalokusukumia lupango?
Alimradi lipate bwana mwingine!
 
Ama kwa hakika, mzee Maneno kanena tena kwa yakini kabisa. Hivi kumbe kuimba nyimbo za injili siyo ishara kwamba mtu keshampokea bwana kiukweli na kuachana na maovu! Ikiwa mzee Mbasha alivyoongea ni vya ukweli na kweli tupu, basi Flora ana laana. Halafu niliwahi kuona ktk mitandao mdogo waki akifanya ngono na Mrisho Ngassa wa Yanga. Ama kweli kunguru hafugiki

Hiyo hakika mimi sijaiona, nilichoona hapo ni maneno ya wazazi yasiyo na chembe ya hekma! Inatia aibu na ni aibu kwa Mbasha kuwa na wazee kama hawa!

Hivi kesho ikatokea Mbasha na Frola wakarudiana, hawa wazazi watajificha wapi??

Afadhari umejinasua kwenye hilo tego dada Frola, maana kama ushauri ndio mlikuwa mnaupata kwa huyu mzee ndio sishangai kwahaya yaliyotokea, huenda BRO Maneno ndio aliemshauri BRO Emma apige tu shem.
 
Kuhusu Flora Mbasha naomba niseme ukweli, nilishawahi kugombana na mlokole mmoja siku ya kwanza tu kumuona akiimba kwenye mkutano wa The Big November Cruisade pale jangwani. Nilisema pale hakuna mlokole, ndipo yule mama wa kilokole alipoanza kunishambulia bila kujua kuna mlango wa fahamu wa 6 ambao huona hata kilichojificha hata kwa miaka ishirini ijayo...

Mlango wa sita ni jicho la kati hapa kwenye paji la uso ambalo kimsingi ndie yule mpinga kristo alieandikwa sana kwenye kitabu cha ufunuo katika biblia takatifu! No wonder unamsema hivyo huyo dada!
 
Acheni kuhangaika na makanisa.Kanisa la kweli ni Kanisa katoliki tu. Hakuna miujiza ya kudanganya watu. Nenda kwa Mwingira pale Efatha utaona mambo ambayo yatakushangaza sana.Hakuna Mungu ndani yao.Mimi pia ni mmoja wa watu waliokuwa vipofu wa kudhani hawa watu wa maknisa ya kimiujiza ni wanafanya kweli kumbe ni uhuni mtupu.Sijawahi kuingia huko lakini huwa nawafuatilia sana.Mwaka huu niliona pale Efatha jinsi watu wanavyowekwa upofu wa akili. Yani sina hakika kama hawa wafuasi wao wana akili ya kutambua yaliyojificha nyuma ya makanisa haya.

Umemsikia brother Francis anachokifanya Rome lkn! Je yule Padri aliemuingilia kijana wa watu kinyume na maumbile, au umesahau yule askofu wa katoriki aliekamatwa akiwanga kusini! Ukristo ni mtu na moyo wake, changamoto zipo kila mahali! Au utajietea kwamba katoliki ni kawaida...
 
Ama kwa hakika, mzee Maneno kanena tena kwa yakini kabisa. Hivi kumbe kuimba nyimbo za injili siyo ishara kwamba mtu keshampokea bwana kiukweli na kuachana na maovu! Ikiwa mzee Mbasha alivyoongea ni vya ukweli na kweli tupu, basi Flora ana laana. Halafu niliwahi kuona ktk mitandao mdogo waki akifanya ngono na Mrisho Ngassa wa Yanga. Ama kweli kunguru hafugiki

Hekima ya huyu mzee maneno ni ya kusikitisha mno.yeye ni nani aongelee mambo ya mtoto wake na mkweye kwenye vyombo vya habari:?Huyu mama naye madudu kabisa.Lawama zote anamtupia Flora.Ukiolewa kwenye nyumba ya wazazi wa aina hii balaa tupu
 
Mkwe wa Flora bwana Maneno ana hekima sana na mkewe pia. Hakika Flora ulipo, laana itakutafuna. Mwanamke huwezi kuwa na roho ngumu kiasi hicho. Hebu chukua hata mfano wa Bill Clinton na Hilary, waliishi wakaweka mbali matatizo makubwa waliyopata kama familia. Na ninakumbuka sana kuwa Hilary alisema kuwa " My husband is very handsome, every woman would admire to have him". Na popote alimtetea huku akisema Jurry itafanya kazi yake, alikataa media kabisa. Wewe Flora ni nani hata umwaibishe mumeo kiasi hicho. Kwa namna ambavyo umeliendesha hili tatizo inaonekana kabisa ulimchoka Imma. Ninamwomba Mungu HIV ikupate na uugue upate mateso makali na madonda kushinda yale ya Ayubu!! Huna adabu mlolole mnafiki!!!

Anafuata msingi wa biblia utamuacha mumeo au mkeo kwa sababu ya uzinzi pekee! Imeandikwa laana isiyo na sababu haimpati mtu! Hiyo laana yako haiwezi kumpata kama amesimamia haki, zaidi sana maneno yako yanaweza kukurudia mwenyewe, maana shimo walilo kuchimbia watadumbukia wenyewe
 
Baba wa Mbasha kanitia simanzi huyu..hasakitendo cha flora kumtelekeza stendi ya mabasi ..kweli kama mmechokana kila mtu ahike lwake mpeane talaka..manbo ya kusingiziana tuhuma sio fresh

Kwanini amuite Frola kumpokea stand na si mwanae! Huu ni unafiki wa kwanza wa huyu mzee! Na kwanini afike Ubungo ndio ampigie simu akampokee, kwanini asimpe taarifa kabla hajaanza safari! Hii haijakaa sawa, hata mimi mtu akitoka mkoani agike ubungo aniambie nikampokee siwezi kwenda!
 
Mzee huyu kituko.Eti alikuja kupatanisha watoto.Vipi aje huku akifahamu Mbasha hayupo Dar kipindi kirefu?Alitaka nauli huyu.Hivi huyu mzee anaijua ndoa?
 
Tena futeni hiyo video ya Mzee Maneno.kwa nini anazungumzia suala lililo mahakamani.akiitwa mahakamani atasema ni mbinu za Flora
 
hao ndio walokole wasiokunywa pombe na kuvuta sigara kwamba ni dhambi pyuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! karibuni RC mrudi kundini
 
wanamtesa mtoto wao tu ambaye anahitaji sana malezi ya baba na mama.

Yaani umesema ndugu yangu mtt ndio anapata shida kabla ya yote ilitakiwa Flora afikirie hatima ya mtt wao sasa badala ya hayo analeta ubinafsi usio kuwa na maana. Huyo mtt wao atakuja kuwa mama au mke gani jamani tuwaombee hawa wana mapepo haswa Flora.
 
Mmh napita.....ngoja tuone hii movie itaishaje

Sent from my iphone using jamii forum
 
Halafu yaani ndoa tokea 2002,wana mtoto mmoja tu.Ila mkwe wake inaonekana anataka ndoa iendelee,najiuliza kwa nini Flora hataki ndoa?si aliapa mpaka kifo kiwetenganishe
 
Back
Top Bottom