GE2025 Baba Levo: Ukilitaja Jina la Rais Samia wananchi wa Kigoma Mjini wanafurahia, wanajisikia raha sana

GE2025 Baba Levo: Ukilitaja Jina la Rais Samia wananchi wa Kigoma Mjini wanafurahia, wanajisikia raha sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mtia nia nafasi ya Ubenge Kigoma Mjini kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando almaarufu kama Baba Levo amesema wananchi wa Kigoma Mjini wanajisikia raha sana linapotajwa jina la Rais Samia kwani kuna vitu vingi amewafanyia wananchi hao na kusema kuwa yupo tayari kumsemea kwa mambo aliyoyafanya, endapo watampa nafasi ya kugombea Ubunge katika jimbo hilo la Kigoma Mjini


Soma Pia:



Chanzo: Wasafi Tv
 
Ndio wabunge CCM inaowataka hao, miaka 4 ya Samia; Kigoma imepokea tsh trillion 11.

Akili za CCM zinawatosha wenyewe, huko ndani kwao wafanye wanavyotaka. Sisi wengine tujikite kupambana na katiba ya kupunguza madaraka ya raisi.
 
Watu ambao wanatumia vichwa kuhifadhi mate kuliko akili ndio mtaji wa mboga mboga, kwa mtu kama huyo kilandage huwaambii kitu kabisa
 
Back
Top Bottom