Baba Levo: Natamani nife wa kwanza kabla ya Diamond, akitaka lolote ntamfanyia. Wadau wamfananisha Baba Levo na Gigy Money

Hahahahah nilikuwa namfuatilia huyu jamaa hadi alipotoa hio kauli juzi..

This muthafvqa is psych...huu sio uchawa ni wazimu! Huwezi kusema upo tayari kufa sababu ya binadamu mwenzio au kumfanyia all that he wishes...Ni ushoga!!!

I just cant imagine uongee hayo mkeo anakusikiliza huko nyumbani. Bora hata mkewe hajulikani which i doubt kwa akili hizi hata kama still wako pamoja.
 
mke alishamkimbia kwakuwa alikuwa kila siku ana shinda kwa Shilole
 
Maisha hayako fair yaan, halafu sasa watoto wanasoma huko shule ya St flan, huku wakijua baba ni chawa inaleta picha gan kwao?
Hiyo ya uchawa unaijua wewe na chuki zako za kimasikini,watoto wanachojua ni kwamba baba yao ni mtangazaji wa redio ,pia ni msanii kitambo kabla hata hajawa na ukaribu na simba.
 
Yaaani kulipiwa ada watoto ndio yupo tayari kumfanyia lolote? Mondi mwenyewe muhuni yule atamuomba 0712........
 
Kuna shida mahali.. Juzi Kati akifanyiwa mahojiano na Zawaradi.. Alisema MOJA ya mambo anayoyapenda Sana ni Kupiga punyeto kuliko kufanya mapenzi kawaida, tena Anaitumia Sana Hiyo njia kujiridhisha Akiwa mbali na mke wake.. kingine ni kucheza kamali.. SASA kwa maelezo hayo Kuna shida katika kichwa chake.
 
khaaaaah afu anavosema hayo yupo mkavu wala hanaga mshipa wa aibu khaaaaah.
 
Mleta mada anatamani nafasi ya Baba Levo sema ndio hivyo tena. Maana yeye kila siku ni threads za kumponda tu.
 
Nilikua namkubal Sana zaman Siku hiz sijui kawaje, imagine kuwa na Baba kama Baba levo, mxieew, kuna umri mwingine kuwa chawa hata haipendezi, Sijui hana ndugu wa kumshauri , yani umaskin mbaya sana , tusomeshe tu watoto wetu
Alianza na shilole sasa hivi kahamia kwa diamond
 
Back
Top Bottom