Baba Levo: Kitambi cha Peter Msechu ni cha kulogwa na mzee wa Kigoma baada ya kumtia mimba binti yake.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416

Msanii wa muziki wa Bongofleva na Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma, Crayton Chipando (Baba Levo), amesema kitambi cha Peter Msechu kinatokana na kurogwa.

Baba Levo amedai Peter Msechu amerogwa kwa kuwekewa ujauzito baada ya kumtia mimba mtoto wa mzee mmoja huko mkoani Kigoma.

Akiongea kupitia eNEWZ Baba Levo amesema kwamba kutokana na kitendo hicho baba wa msichana huyo alikasirika baada ya Peter Msechu kumuacha msichana huyo hivyo akaamua kuhamisha ujauzito wa binti yake na kumuwekea msanii huyo.

Baba levo aliendelea kusisitiza kwamba “Peter Msechu aachane na ‘GYM’ kwasababu ile ni mimba ambayo amepandikizwa na mzee mmoja kutoka Kigoma na Januari atazaa endapo tu hatakwenda kuomba msamaha kwa baba wa binti huyo”.

Baba Levo alimalizia kwa kusema kwamba Peter Msechu hapaswi kujifananisha na yeye kwa kuwa yeye ni diwani ambaye amechaguliwa kwa kura za wananchi na ni lazima ale vizuri kwa kuwa wananchi wanamtegemea yeye ili kuweza kuwaletea maendeleo katika kata ya Mwanga Kaskazini .
 
Ila huyu mtu ni mnene sana, nahisi anahitaji msaada wa kitabibu.
.
.
Namuonea huruma mke wake
 
ukiwachukulia serious hawa jamaa watakuchanganya tu,inshort hao wana ni washkaji ile mbaya na wanataniana mpk unaweza ukasema ni maadui kumbe waaalaaa
 
Back
Top Bottom