Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
😛eep: Mme wangu ni Mchagga wa Marangu, wakati wa uchumba siku moja aliniambia akinipeleka kwao, baba yake atanitamani. Sikuelewa maana yake wakati huo lakini kwa kukaa sana nao na kujua mambo mbali mbali nimegundua alikuwa anajua kwa vyovyote lazima baba yake angenirodoa. Alikuwa hataki kabisa wakati huo kunipeleka kwao. Nimesema kweli jamani, msinishambulie wala kunisuta. Kweli tupu.
Msiwashambulie wachagga kwa sample ndogo - Mimi nimekuwa naishi Dar es Salaam kwa karibu decades tatu nikifanya kazi na kujirusha viwanja mbali mbali - lakini ninadiriki kusema kuna akina baba wengi tu middle-to-upper class wanatembea na watoto wao wa kike with impunity. Last time nilikuwa mmoja wa mashuhuda wa baba na bintiye wakiwa kitandani watupu - Mama mwenye mji alitaka kutalikiwa baada ya kubaini kuwa Baba anakula mtoto, kwahiyo ushahidi uliitajika and was among the three witness!
Hapa mjini nadhani kuna "shetani wa ngono" aliyeingia - Kuna mzee mmoja - among the "richest class" hapa mjini - mtoto wake wa kike alikuwa anasoma shule ya wasichana mkoani Tanga - na miaka yote hiyo (form 1 - 6) baba ndiye alikuwa akimpeleka shule na kumrudisha nyumba wakati/baada ya likizo - Baada ya form 6 mtoto alipelekwa kusoma SA na Baba alikuwa ndiye msindikizaji - Siku moja BE yupo JHB anavinjari viwanja niliwakuta huyo Baba na mtoto wake wakiwa wanakula denda live kwenye hiyo klabu! Baba alivyoniona (mimi ni mkaaji wa kaunta baa yoyote nitakapokuwapo) mimi (ilishawahi kuwa mwajiriwa kwenye kampuni yake) akapotezea kwa kumwambia bintiye aje anisalimie halafu na mimi nikamfuata kwenye sehemu waliyokaa nikamsalimia - Of course siku hiyo bia offer zilitaka kunitoa roho!
Haya mambo yapo, tatizo wachangiaji wengi, hawajazunguuka "viwanja" kiasi cha kutosha!