Sibishi, penye ukweli fulani nakiri, penye uwongo pia nasema, Iam Chagga, hayo mambo yapo, sijui kiwango labda 20 or 30 percent, but yapo, my Mum alishawahi kuambiwa na dada mmoja enzi za ujana wake kuwa baba yao, Mrombo, alikuwa na tabia hiyo, eti hauwezi kupata mume kama yeye hajaanza, dada zake 3 walipitiwa na huyo mzee but yeye alipokuwa alikataa na mzee wake akawa anamchukia kwa kusema hana heshima na hatapata mume but yeye ndiye aliyeolewa na mwanaume wa maana, dada zake kutwa matatizo ya kupigwa kwenye ndoa zao, hivi mtu atamuheshimu baba wa aina hii, ni kumsemea tu kwa BF wako ili amshushe kipigo, that ishu ipo, ila kuna watu hawajui kama ipo, watu wa aina hii wahasiwe tu, hawana maana, ni wapuuzi.