Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Kuliwa sijakuelewa,Tatizo nilikuwa nafanya kazi na wao walikuwa hawataki.
Kuliwa sijakuelewa,Tatizo nilikuwa nafanya kazi na wao walikuwa hawataki.
Thank you, Mungu aniongoze aisee.
On the other note, lile zoezi nimeshindwa kudeliver. Sources zote zimechemsha.
All the best .
Aisee itabidi nijipange nikiagize online. Thank you so much for trying hard
Mm mwenyewe napata tabu hiyo hadi kaka zangu wadogo wananionea wivu
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukraniBasi waheshimu sana hao kaka zao,
I mean it
Kwa age hiyo you better stay away from boys ukiwa kwenye anga ambazo wanaweza kukuona for your safety
Duh! Kwa hyo avatar hata mimi ningeona wivu tuKaka zangu walikuwa na tabia hiyo wivu wa kipumbavu,Tuliwahi kuzinguana mbaya.
Sasa sster ndio umeamua uje useme huku eti ule ulikua utoto tu mbona yalishapita Yale si unakumbuka mma alitu amlia siku ile kama sio vile makofi Yale ungelazwaKaka zangu walikuwa na tabia hiyo wivu wa kipumbavu,Tuliwahi kuzinguana mbaya.
Sio wivu. Anamlinda dhidi ya nyie vicheche msije mharibia maisha. Kama unamtaka kumuoa utajitambulisha rasmi kwa wazazi na hamna tabu tena!Habar zenu wana Jf wa jukwaa pendwa la mahusiano,mapenz nk. Ndugu zangu mimi leo na mada kama inavoonekana hapo juu.
Kwanini baba wengi wana wivu sana kwa binti zao?? Mfano mimi demu wangu baba ake ana wivu sana kias kwamba hataki awe na rafik wa kiume au hata majina anamwmbia afute kwa simu ake. Na pia anatabia ya kugagua sim yake na kama akiona jina la mwanaume anaweza piga hata simu, hta kama binti ako huu wivu hapana umezid hapo anakuw kama mpenzi wake sasa.
Kwa wale wenye watoto wa kike na wanawake pia naomba mtusaidie hili suala .Baba kuwa na wivu kwa bintiye imekaaje hii???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio wivu. Anamlinda dhidi ya nyie vicheche msije mharibia maisha. Kama unamtaka kumuoa utajitambulisha rasmi kwa wazazi na hamna tabu tena!
Nna kamoja ndo kwanza sweet 16,nawaona tu masela wanavyokabandua huko [emoji848]
Napenda niwe na watoto wa kike na ntasimama kidete na upanga na kisu kumharibu mpuuzi Fulani hiv
Hiv vitoto teenager bado mnaviaamini havina akili tuwe serious na maisha yao
Kipind chako cha ujanani ulikuwa huwanyatii?Mzazi yeyote mwenye mtazamo chanya hawezi kuruhusu binti yake awe uwanja wa mazoezi, mzazi mwenye hekima na busara hutamani siku zote binti yake apite njia sahihi za malezi na kufikia aidha kuwa mke wa mtu ama mama wa wajukuu kwa tamaduni zilizo bora za eneo husika, hii michezo ya vijana kujiona wana haki kwa mabinti wa wenzao ni upuuzi wa ukosefu wa maadili tu, kwa mleta mada anauliza hili aidha kwa sababu hajawahi kuwa na dada ama hana mtoto wa kike, ukijaaliwa kuwa na dada na mtoto wa kike au hata mama ambae bado anavutia machoni mwa wakware hautakuwa na furaha kumuona akinyatiwa na mwanaume yeyote achilia mbali kuwa mzazi wake!
Wivu wa mzazi kwa binti ni ulinzi dhidi ya maharamia wasiokuwa na tabia njema na malengo chanya yeyote, na ndio sababu ya mimba za utotoni na kupoteza mwelekeo kwa wadada wengi ambao hawana usimamizi sahihi.
Mimi naweka wazi interest yangu, nina mabinti wengi, siku nikigundua kidume kinaleta mazoea; ntatoa mfano kwenye jamii inayonizunguka.
Ni malezi tu na mazingira aliyopo mbona wapo wanaokua salaamaMtoto wa kike halindwi mzee ataliwa tu omba awe anajielewa