Baba kuwa na wivu kwa bintiye

Baba kuwa na wivu kwa bintiye

Hawa wajinga sana, unajitahidi binti yako umsomeshe ili aweze kukufaa kimaslahi maana watoto wa kiume wanahangaika na wake zao tu! Jitu linataka lile tu, lijaze mimba mzee ulee binti yako na mjukuu. Huyo binti ataanza kutukanwa kuwa ni single maza na hawezi pata wa kumuoa. Hivi kweli ukiwa na akili yako, utachekelea ukisikia binti yako ana kiboyfriend? Kama unamtaka unaoa jumla siyo chovya chovya. Kumkagua simu yake ruksa ili kuepusha majanga na vilio vya baadaye

Isiwe too much lkn, mtt muelekeze kama anaakil ataskia, ila kama hana akil hta ufanyaje wap


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Isiwe too much lkn, mtt muelekeze kama anaakil ataskia, ila kama hana akil hta ufanyaje wap


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sikuelewi, unataka kusema asipokuwa na akili nimwache alete kijukuu nilee? Nadhani ni different maana akiwa na akili unamuacha awe huru. Ila lipumbavu lazima ulifuatilie haswa. Akiweka mguu unatia wako hadi akili zinamkaa sawa. Kulea kazi usiombe. Lakini yote yanategemea kama mama anajiheshimu na watoto watajiheshimu, wataharibika wanapoona mama naye ni chakaramu, hapo hata uzikiri uchi utakuwa unajisumbua
 
Habar zenu wana Jf wa jukwaa pendwa la mahusiano,mapenz nk. Ndugu zangu mimi leo na mada kama inavoonekana hapo juu.

Kwanini baba wengi wana wivu sana kwa binti zao?? Mfano mimi demu wangu baba ake ana wivu sana kias kwamba hataki awe na rafik wa kiume au hata majina anamwmbia afute kwa simu ake. Na pia anatabia ya kugagua sim yake na kama akiona jina la mwanaume anaweza piga hata simu, hta kama binti ako huu wivu hapana umezid hapo anakuw kama mpenzi wake sasa.
Kwa wale wenye watoto wa kike na wanawake pia naomba mtusaidie hili suala .Baba kuwa na wivu kwa bintiye imekaaje hii???


Sent from my iPhone using JamiiForums
Maana yake ni kwamba mtoto wa kike anatakiwa afanye mambo hayo kwa siri bila baba kuona dalili yoyote
 
Habar zenu wana Jf wa jukwaa pendwa la mahusiano,mapenz nk. Ndugu zangu mimi leo na mada kama inavoonekana hapo juu.

Kwanini baba wengi wana wivu sana kwa binti zao?? Mfano mimi demu wangu baba ake ana wivu sana kias kwamba hataki awe na rafik wa kiume au hata majina anamwmbia afute kwa simu ake. Na pia anatabia ya kugagua sim yake na kama akiona jina la mwanaume anaweza piga hata simu, hta kama binti ako huu wivu hapana umezid hapo anakuw kama mpenzi wake sasa.
Kwa wale wenye watoto wa kike na wanawake pia naomba mtusaidie hili suala .Baba kuwa na wivu kwa bintiye imekaaje hii???


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kajitambulishe wivu utaisha.
Hakuna baba anayependa kuishi na wake za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wababa hupenda mabinti zao waolewe kwa heshima sio watembee ovyo kamambwa. Wamama huwafichia siri mabinti zao. Wakaka wanaona aibu dada zao wakienda ovyo.
WIVU NI TOFAUTI SIDHANI KAMA WANAONA WIVU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ni kua too concerned.... Mshua alikua hataki hata kuskia mazoea.. He was very tight . Putting it into balance is very hard i can tell.. but always protect them huku nje sio salama, ikiwa over ni heri kuliko ushuhudie majeraha ya wao kuraruliwa
Hahaha, I wish I get brain to put it into balance, protect but not overprotect.
 
Nadhani ni kua too concerned.... Mshua alikua hataki hata kuskia mazoea.. He was very tight . Putting it into balance is very hard i can tell.. but always protect them huku nje sio salama, ikiwa over ni heri kuliko ushuhudie majeraha ya wao kuraruliwa

Thank you, Mungu aniongoze aisee.

On the other note, lile zoezi nimeshindwa kudeliver. Sources zote zimechemsha.
 
Back
Top Bottom