Baba kuwa na wivu kwa bintiye

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,244
39,161
Habar zenu wana Jf wa jukwaa pendwa la mahusiano,mapenz nk. Ndugu zangu mimi leo na mada kama inavoonekana hapo juu.

Kwanini baba wengi wana wivu sana kwa binti zao?? Mfano mimi demu wangu baba ake ana wivu sana kias kwamba hataki awe na rafik wa kiume au hata majina anamwmbia afute kwa simu ake. Na pia anatabia ya kugagua sim yake na kama akiona jina la mwanaume anaweza piga hata simu, hta kama binti ako huu wivu hapana umezid hapo anakuw kama mpenzi wake sasa.
Kwa wale wenye watoto wa kike na wanawake pia naomba mtusaidie hili suala .Baba kuwa na wivu kwa bintiye imekaaje hii???

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Subiri siku ukiwa na binti yako wa kike ndo utajua kwanini vijana wanatakiwa wasimzoee. Miaka yetu mapenzi yalikuwa ni siri hata ikitojea mmeachana na binti watu hawawezi kujua now days mnajifanya wazungu utaka hadi wazazi wake wakufahamu wakati hata kuoa huna mpango
Habar zenu wana Jf wa jukwaa pendwa la mahusiano,mapenz nk. Ndugu zangu mimi leo na mada kama inavoonekana hapo juu.

Kwanini baba wengi wana wivu sana kwa binti zao?? Mfano mimi demu wangu baba ake ana wivu sana kias kwamba hataki awe na rafik wa kiume au hata majina anamwmbia afute kwa simu ake. Na pia anatabia ya kugagua sim yake na kama akiona jina la mwanaume anaweza piga hata simu, hta kama binti ako huu wivu hapana umezid hapo anakuw kama mpenzi wake sasa.
Kwa wale wenye watoto wa kike na wanawake pia naomba mtusaidie hili suala .Baba kuwa na wivu kwa bintiye imekaaje hii???

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom