Nilizaa na m ukraine... Na namtunzayule wako unamtunza
Hapa ni duniani tu tujifunze kusameheana kama mafundisho ya mwenyezi Mungu.Amekosa ndio lkn anayo haki ya kusamehewa.Diamond siku ya hukumu na ww ukiomba msamaha kwa Mwenyezi si utahitaji kusamehewa? Basi anza kusamehe hapa dubiani pia hamna mwanadam mkamilifu!All the best!
Laana haiwezi kuja kirahisi namna hiyo! Mtu anayetelekeza wanae ndie apatae laana.Laana hiyooooo inakuja......
Aisee big up Diamond! Huyu baba kabla hajaenda kwenye vyombo vya habari kumdhalilisha mwanawe aweke wazi mchango wake kimakuzi kwa mtoto wake. Vinginevyo anazidi kujidhalilisha zaidi. Alikosana na mkewe iwewje atelekeze na watoto? Nina wachukukia sana wanaume wenzagu wa aina hii. Binadamu uwe mwanamke au mwanaume ukazaa na kukimbia wajibu wako wa kulea thamani yako inakuwa ya chini kuliko mbwa koko!The law of karma imefanya kazi yake kwa huyo mzee wa diamond.
What goes around comes around.
kati ya wewe na mama diamond nani anajua baba halisi wa diamond, kati ya mzawa na wewe nani anajua uchungu wa baba yake!Mkuu, umeandika kwa hekima sana! Huyu Diamond, mimi nimeshamuona kama mpumbavu tu, kuna watoto
wa kiume wengine sisi hatuna baba (tunaumia) na kuna wengine walikosana na baba zao sana tu, na huwa wanawasamehe na kuwasaidia. Na kuna wengine walipoteana na baba zao kitambo huwa wanawatafuta
mpaka wanawapata na kama walishafariki huwa wanaumia
sana! Sasa huyu Diamond anamwacha baba yake bila ya msaada hivi ni kosa gani la mzee huyu ambalo halipaswi kusamehewa? Mzee anaishi maisha magumu, Diamond anajidai kutoa
misaada kwa watu baki bila ya kumjali baba
yake sasa ni huruma gani aliyonayo kwa watu baki kuliko
baba yake mzazi ambaye Diamond
bado anatumia jina lake katika majina yake
matatu. Basi kama Diamond hampendi baba yake, aache kabisa kutumia jina la baba yake, atumie jina la ukoo wa mama yake halafu huyu mama Diamond naye ni mtu wa majungu na huyu Diamond hata aende wapi huyo mzee ndio baba yake ni busara akamkumbuka!
Siyo kweli, huyo mzee anashida kwa taarifa yako kama haujui kusoma sura ya mtu akiwa anaongea.Watu wengi mnacomment bila kusikiliza hiyo clip! Dingi anaongea sense! Yeye alii njaa waandishi ndo wanamfata na dingi kumbe ana nyumba yake! Yeye anaongea ukweli na hana mpango wa kumrudia mama diamond! Inavyoelekea watoto wanataka mzee anyenyekee sana na dingi hataki! Sema kichwa cha habari kimetengeneza kuuza
umezungumza la maana sana mwanangu, najua utakuwa binti wewe au kama mvulana basi mwenye kujua maana. naona wengi humu wanabwabwaja tuHahahaaa!watu miaka michache ile ilopita walikua wanahustle..Wanaakka asubuhi wanawaza leo tunakula nini?? diamond na mamake wanahangaika japo wapate hela ya unga na dagaa wale wasavaivu hapa mjini..Walikua walikua wanaishi kwenye nyumba ya bibi yao tandale.Cjui kama sio huyo bibi kuwapa makazi wangelala wapi?diamond anaungua na jua kali la dar,Kachafuka mweusii kuuza mitumba wapate hela ya kula na mamake...Huku mzee kakumbatia wanawake wengine ndani ya nyumba yake hana habari..Ni mama diamond alikua na cheni yake ya dhahabu moja aloipebda sana akaenda kuiuza kwa sonara hela akmpa diaomnd aende studio akarekodi wimbo wake wa kwanza..Leo maisha yamebadilika unamuona wa maana!! nenda shamba kalime baba mungu kashakufunza!
baba yangu yupo kijijini anahangaika na maisha lakini hajawahi nisema kitaa kuwa sijampa hela! anajua haitasaidia. sasa huyu na nguvu anazo anasimamaje na kumpaka tope mtu! kakuambia Zari alikuwa anamsaidia sana,,iweje leo hii aisimsaidie!,ujue ana gubu. anadai wala hataki kumuona zari tena.,huu si ujuha! hutaki kumuona mtu ambaye mwanao anabinua mkundu juu yake ,! sasa kama zari kakosea na huwezi msamehe iweje ww usamehewe!Dada haya maneno makali sana kwa mzazi, ni kweli anakosea na anazidi kujiaibisha kwa kukubali kuhojiwa na magazeti ya udaku lakini ukweli halisi amechanganyikiwa kwa kuona mtoto wake anatanua ilihali yeye anapata milo mitatu kwa siku kwa shida. Mie naona ni kawaida kuchanganyikiwa kwenye hali kama hii, inatakiwa akubaliane na hali halisi kisha maisha yaendelee, anaonekana ana nguvu na bado ni kijana wa kati, siwezi kumuita mzee.
anadai hataki kumuona zari ambaye kila siku anaunyonya iwe kwa mdomo au papuchi udagaa wa diamondo, kama kashindwa kumsamehe na kumtambua zari ambaye alikuwa anamsaidia na kujaribu kuwaunganisha, leo hii anataka diamondo amsamehe vipi yeye. maongezi yetu humu jf hayamsaidii lolote akajiunge katika kilimo. baba yangu na mama yangu hawaishi pamoja lakini kila mmoja analima kweliKama anapata milo mitatu kwa siku anahitaji nini zaidi? Kufatana na Diamond?
Kwanza kuna uzi humu unasema huyo si baba'ke mzazi. Asijipendekeze.
kati ya wewe na mama diamond nani anajua baba halisi wa diamond, kati ya mzawa na wewe nani anajua uchungu wa baba yake!
Kwa nini usiende kumsaidia wewe!Kwenye issue Kama hizo Mama anafurahi Tu, tena anazidi kumwaga sumu za uongo! Huwezi kujua nini kilitokea wakati ule, busara ya kawaida ya Mwanaume, Diamond angemsaidia Baba yake!
Kweli kabisa halafu mzee alishawahi kumuomba msamaha,
Basi sasa kama haujui nami sijui, hivyo tuwaache watayamaliza wao! kila siku baba diamond. tunahitaji vitu vipya vya kusikiaMkuu, mimi sijui. Naona tu unataka kuifufua hii thread kwa maswali ya kipuzi wakati majibu yake unayajua.