Dada haya maneno makali sana kwa mzazi, ni kweli anakosea na anazidi kujiaibisha kwa kukubali kuhojiwa na magazeti ya udaku lakini ukweli halisi amechanganyikiwa kwa kuona mtoto wake anatanua ilihali yeye anapata milo mitatu kwa siku kwa shida. Mie naona ni kawaida kuchanganyikiwa kwenye hali kama hii, inatakiwa akubaliane na hali halisi kisha maisha yaendelee, anaonekana ana nguvu na bado ni kijana wa kati, siwezi kumuita mzee.Huyo anaonesha ni teja kama si teja basi ni tapeli lisiloridhika.
kutofautiana na mzazi mwenzio utupe na mtoto ni mbaya,