b191
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 742
- 1,031
Baba na Mama John huwa wanalala pamoja na Watoto wao wawili John ambaye ni mkubwa na James.
Baba na Mama John husubiri Watoto wakishalala na kuanza yao ya Kikubwa.
Siku za hivi karibuni wamegundua staili mpya na wamekuwa wakiitumia.
Sasa kwa bahati mbaya kila mchezo unapokolea huwa wanakukuruka hadi mtoto mmoja au wote wawili wanawaangusha chini bila kujua. Baada ya mchezo huwanyanyua na kuwarudisha tena kitandani.
Jana kama kawaida yao wakaanza kale kamchezo. Lakini kabla mchezo haujakolea wakasikia John na James wakinong'onezana.
John: James! James! jishikilie vizuri kwenye mbao za kitanda, wameshaanza
James: Sawa, wasije kutuangusha tena, maana wamezoe.
KAMA WEWE NI BABA / MAMA JOHN UTAFANYA NINI?