Baba Askofu Pius Erasto Ikongo kumbe ni mwanasiasa

Baba Askofu Pius Erasto Ikongo kumbe ni mwanasiasa

Sio mwana siasa tu bali ni mfanyakazi halali wa idara ya usalama.TISS.

wewe 12stone kwa hili nimekukubali kabisa...huyu bwana hata zile suti aliyovaa leo si ya kiaskofu bali ukiichunguza kwa makini utakuta haina tofauti na zile wanazovaa hawa wana usalama wa serkali ya kikwete tunaowaona wakimsindikiza rais katika misafara mbalimbali ndani na nje ya nchi....pia hata ukitafuta kanisa rasmi analosimamia sidhani kama utalipata
 
Katika hali ya kushangaza leo asubuhui katika kipindi cha mahojiano channel ten,mgeni alikuwa ni Asofu Erasto wa Kanisa fulani la kiroho.Yeye alikuwa anawakosoa maaskofu waliotoa tamko kuhusu waumini kutopigia kura katiba pendekezwa.

Kwa maoni yake viongozi wa dini hawakutakiwa kabisa kujihusisha na siasa,na katika maongezi yake ilionekana wazi kuwa ana chuki binafsi na Kanisa Katoliki.Hata hivyo kitu kilichovutia katika maongezi hayo ni pale wasikilizaji walipoanza kuchangia kwa njia ya simu.

Humphrey polepole pamoja na kumfafanulia kuwa haikuwa hoja ya kanisa Katoliki peke yao,yeye aliendelea kulishambulia kanisa ilo,pia juu ya hoja ya Humphrey kuwa kuna viongozi wa dini wanapewa bahasha yeye alikanusha na kudai kuwa hata yeye anasingiziwa kuwa kapewa milioni 200 wakati sio kweli.

Mchangiaji aliyejitanabaisha kwa jina la Mchunga alimpa kavukavu kuwa kama kweli ana dhamira safi anaposema viongozi wa dini wasijihusishe na siasa basi akanushe kama uchaguzi uliopita hakugombea ubunge kwa tiketi ya CCM,hapo mate yalimkauka na akawa nakigugumizi cha ghafla,na alipobanwa sana akakiri kuwa kweli aligombea ubunge.

Nilipigwa na butwaa kwani hapo mwanzo nilidhani ni kweli yeye ni kiongozi wa dini anayechukia viongozi wa dini kujihusiha na siasa.Wito kwa wnegine: If you live in a stone house never throw stones to your neighbour.

Pia katika maelezo yake alitoa takwimu chonganishi juu ya idadi ya watanzania wa dini na madhehebu mbalimbali,ameulizwa hiyo sensa ya kidini aliifanya lini na wapi, akapata kigugumizi:wito,huu sio mwaka 47 unapokuja kuongea mbele ya vyombo vya habari inabidi ujipange sawasawa.

Nilimsikia na nikahisi amejuta kwa nini alienda na kuongea aliyoongea. Shame upon him.
 
ndio maana watu wanakua wapagani, viongozi wa dini hawajielewi...
 
Na bado watakuja wengi waliopokea bahasha ya khaki,nna wasiwasi hata na huyu wa Jimbo kuu kama hajalazimishwa kutoa ile kauli,MBONA KAULI YA KUTAKATISHA FEDHA KWENYE ESCROW hakuitolea tamko???????
Mchunga kamvua nguo. Kumbe ni CCM na alishawahi kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM. Isitoshe mwaka 2012 Alidaiwa kuhongwa milioni 200 na serikali. Kumbe ni litakataka lililojificha kwa kivuli cha dini. Mungu atawaumbua tu.
 
Hata mimi nilikuwa namsikiliza huyo askofu, nawasikitikia hao wanaoitwa waumini wake.. Hahaa nilimpenda sana yule bwana Mchunga jinsi alivyo muumbua 'askofu' feki.. I love baragumu live ch. Ten..
 
Weka details kamili, huyu askofu ni nani na ikiwezrkana tuwekee picha maana wengine hatutazamagi hicho kipindi

Details gani unataka? Anaitwa Erasto Ikongo, mengine zaidi mtafute kanisani kwake hata sijui linapatikana wapi..
 
Uchaguzi uliopita aligombea Moshi mjini akatolewa kwenye kura ya maoni. Ni Gamba kavu lisilo na aibu. Wala si askofu. Hasimamii zaidi ya kakanisa kake tu.
 
Front page ya jukwaa la siasa leo kuna threads almost 7 zinazungumzia same thing na zinazungumzia viongozi wa ikristo na siasa. Rightly so. Sasa kwa nini msiwe na 2 separate supeer threads za msimao wa jumuiya za kikristo na nyingine ya msimamo wa jumuiya za waislam juu ya upigaji kura?

Ushaidi wa ninachokizungumzia hiki hapa:

1. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...vuli-wa-dini-kuhubiri-chuki-na-uchochezi.html

2.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/821390-unafiki-wa-baadhi-ya-maaskofu-wa-tanzania.html

3.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-asha-rose-migiro-kuhusu-kura-ya-hapana.html

4.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-pengo-kashindwa-kusoma-alama-za-nyakati.html

5.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-pius-erasto-ikongo-kumbe-ni-mwanasiasa.html

6.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-msimamo-wa-maaskofu-hauna-nguvu-yoyote.html

7.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...uamuzi-wa-aina-ya-kura-ni-wa-mtu-binafsi.html

8.https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ni-tamko-la-jumuiya-ya-kikristo-tanzania.html

Na ukitazama zote zinazungumzia kitu kimoja

Nilianza kuchangia thread ya msimamo wa jumuiya za waislam juu ya katiba nabonyeza send sioni kitu

Maxence Mello na Mods wako acheni huu ushabiki wa kidini. Kama hamuwezi si vibaya mka declare kuwa JAMIIFORUMS ni forums ya wakristo peke yao

Hivi kwa nini mko biased kiasi hiki?
 
wakati wa sekeseke la mahakama ya kadhi kulikuwa na thread ngapi humu zinazungumzia suala hilo?mbona hukupiga kelele?kule intelligence kuna thread ngapi zinazungumzia mambo ya imani za atheist za "hakuna Mungu"?mbona hayo husemi?acha double standards mkuu.
 
Mwaka huu wa 2015 ni mwaka wa maombolezo kwa viongozi dini makanjanja; maana Mola atawaumbua na Lucifer kuwacheka hao !
 
Kama Mungu alinyima kibali kasisi Pius Ikongo kuwa mbunge wa C.C.M.;na kwetu watanzania hapati kibali kutudanganya ng'o!
 
Wa kulaumiwa ni Albert Kilala mwendeshaji wa. kipindi cha BARAGUMU LIVE.Ilibidi awaeleze watizamaji kuwa huyo anayeitwa askofu pia aliwahi kugombea ubunge kupitia chama cha siasa ili anopotoa hoja watu waelewe maslahi yake katika hoja anayoijenga. Mimi niliamini namsikiliza Askofu mpaka pale mchangiaji aneyeitwa Mchunga alipomvua nguo "Askofu" kwa kumtangaza kuwa aliwahi kugombea ubunge kupitia CCM

Watangazaji au waandishi wa kiBONGO hawanaga homework ya kz zao
 
Uchaguzi uliopita aligombea Moshi mjini akatolewa kwenye kura ya maoni. Ni Gamba kavu lisilo na aibu. Wala si askofu. Hasimamii zaidi ya kakanisa kake tu.
niliangalia kipindi cha channel ten,isingekuwa busara ya mtangazaji huyo askofu alikuwa na dalili ya kukimbia studio
 
Hivi huyo humphrey polepole mnamuonaga ndo ana akili sana eeh?.
kwanza swali ameuliza,eti halikua suala la wakatolic,sawa,big ishu hapa ni viongozi wa dini kujiingiza katika siasa.
huwa nakiangalia hiki kihamphrey kinaongea kwa kujidai eti kina akili mob,kumbe njaa inamsumbua

Haaahaaaaa mkubwa unawivu sana na roho mbaya unamwita kihamphrey? Huko juu zaidi yako ndio maana raise alimteua na anaendesha mikutano mkubwa tu sisi wenye akili timamu tunaopebda ukweli tubamkubali acha wivu wewe mdada utabakwa
 
Watangazaji au waandishi wa kiBONGO hawanaga homework ya kz zao

mtangazaji alifanya vizuri kumuacha mtu mzima ajivue nguo hadharani,alimuibua mnafiki na nina imani hataibuka tena kupambana na sauti ya mungu
 
Haaahaaaaa mkubwa unawivu sana na roho mbaya unamwita kihamphrey? Huko juu zaidi yako ndio maana raise alimteua na anaendesha mikutano mkubwa tu sisi wenye akili timamu tunaopebda ukweli tubamkubali acha wivu wewe mdada utabakwa

Ulijisikiaje kabisa pengo alivyompigia debe kikwete na kusema ndie chaguo LA M Mungu uchaguzi 2010? VP ulipinga napo? Ooohhh noo ulikuwa bado hujazaliwa kumbe na deal na under 18.
 
Ulijisikiaje kabisa pengo alivyompigia debe kikwete na kusema ndie chaguo LA M Mungu uchaguzi 2010? VP ulipinga napo? Ooohhh noo ulikuwa bado hujazaliwa kumbe na deal na under 18.

pengo hajawahi kufanyà hivyo,kumbukumbu zinaniambia ni mzew wa escrow,kilaini
 
Back
Top Bottom