Baba Askofu Pius Erasto Ikongo kumbe ni mwanasiasa

hata Pengo akisachiwa vizuri anaweza kuwa na kadi ya CCM.
Wale ni wanadamu kama wewe,anakwenda chooni,anakula etc,kwanini asiwe na kadi ya chama anachokipenda.same applied to malasusa anaweza kuwa ukawa vilevile.
 
Nimemsikiliza vizuri na nimegundua kuwa huyu ni informer na amepewa kazi hii na watu wenye fikra za mgando.
 
Hata Kanisa la Mungu limevamiwa. Watu wanaweka maslahi yao mbele. Ukitafakari kwa umakini kuanzia ile Kauli ya Pengo, akafuatiwa na waliojiita Maaskofu wawili kutoka kanda ya ziwa utabaini kuwa serikali ina mkono wake nyuma ya hilo. Kanisa kama kanisa lilitakiwa kutetea haki itendeke. Haiwezekani kikundi cha wanaccm kijiandalie Katiba then tuambiwe ni katiba ya wananchi. Tangu mchakato ulipoanza kulikuwa na dosari nyingi zikiwemo kutowachagua viongozi wa dini waliopendekezwa na Jukwaa la Wakristu, badala yake serikali ikakimbilia kuwalaghai Wakristu kwa kuwachagua Maaskofu wenye itikadi za kiccm. Jukwaa la wakristu lilitoa taarifa kuwa ndani ya Bunge la katiba liliwakilishwa na Muumini mmoja tu.

Serikali imeona hilo halitoshi sasa imeanza danadana ya kuwatumia viongozi wa dini walafi na wachumia tumbo. Hatuwezi kufika kama tutapuuzia Mambo ya msingi.

Leo hii baadhi ya Maaskofu wanatetea Mapendekezo ya serikali, ajabu ni pale hayo mapendekezo yakisha pitishwa, wao ndio watakuwa wa kwanza kuikosoa serikali. Nakumbuka Cardinal Pengo aliwahi kuipinga serikali hadharani ilipotaka nyaraka za Maaskofu ziwe zinapitiwa na serikali kabla hawajaziweka public. Leo hii Pengo ndo yuko Mstari wa mbele kupinga Nyaraka za Maaskofu. Hivi Pengo kweli anatumia akili yake mwenyewe au anatumiwa? Na Je, ikitokea akaja na hoja za kuipinga Serikali tumuunge mkono au tumpuuzie?

Mwaka 2005 Askofu Kilaini alikuja na Kauli mbiu kuwa Kikwete ni chaguo la Mungu. Pamoja na Elimu yake kubwa alisahau kuwa Rais anaongoza nchi kwa kufuata ilani ya chama chake. Ilipofika hatua ya huyo aliyeitwa chaguo la Mungu kuanzisha Mahakama ya Kadhi wakamgeuka na likaibuka swala la udini Mpaka kwenye teuzi alizozifanya huyo chaguo la Mungu. Huyo huyo chaguo la Mungu alipoongelea Maaskofu kujihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya sikumsikia Pengo wala kilaini akijitokeza kumtetea.

Viongozi wa dini mnaopinga Nyaraka zinazotolewa na Jukwaa mliloliunda nyinyi jitafakarini upya. Ni vema mkalivunja hilo Jukwaa ili kila mmoja ajiongoze anavyoona inafaa.
 
It is very sad how christians have let their pastor to do the thinking for them
 
Weka details kamili, huyu askofu ni nani na ikiwezrkana tuwekee picha maana wengine hatutazamagi hicho kipindi

mkuu mkalibari kama ujuavyo Channel TEN huwa hawaweki caption mara kwa mara na nimekuta kipindi ndo kinaisha
 
huyu askofu anaitwa ikongo, nikemsikiq ni takataka.kaambiwa wewe si umepewa milioni 200 utetee katiba feki? akaema sijawai pewa pesa hiyo.pia kaambiwa je bunge la katiba lilipopitisha katiba pendekezwa ndivyo dini inasema badala ya maridhiano?huyu ni kituko
 
Kuna wakati mwingine viongozi wa Dini hawana msaada wowote kwa jamii, wamebakia kuwachanganya tu waumini wao ni vema wakawaacha wawe huru.
 
Heading yako aiendani na ulichoandika, kwani kuna ubaya gani kuiunga mkono, mbona wapo wabaoipinga tena kwa waraka
Bias! Bias! Bias!
 
Acha kutokwa mapovu katiba lazima ipite mtake msitake na pengo yuko upande wetu:
 
Hilo kanisa lake tunasali wapi huku bomba mbili?
Au mnasali nyinyi tu buko?
Basi sio kanisa labda ni jumuia na yeye atakuwa si Askofu kamwe! Katu!
 
Katika hali ya kushangaza leo asubuhui katika kipindi cha mahojiano channel ten,mgeni alikuwa ni Asofu Erasto wa Kanisa fulani la kiroho.Yeye alikuwa anawakosoa maaskofu waliotoa tamko kuhusu waumini kutopigia kura katiba pendekezwa.

Kwa maoni yake viongozi wa dini hawakutakiwa kabisa kujihusisha na siasa,na katika maongezi yake ilionekana wazi kuwa ana chuki binafsi na Kanisa Katoliki.Hata hivyo kitu kilichovutia katika maongezi hayo ni pale wasikilizaji walipoanza kuchangia kwa njia ya simu.

Humphrey polepole pamoja na kumfafanulia kuwa haikuwa hoja ya kanisa Katoliki peke yao,yeye aliendelea kulishambulia kanisa ilo,pia juu ya hoja ya Humphrey kuwa kuna viongozi wa dini wanapewa bahasha yeye alikanusha na kudai kuwa hata yeye anasingiziwa kuwa kapewa milioni 200 wakati sio kweli.

Mchangiaji aliyejitanabaisha kwa jina la Mchunga alimpa kavukavu kuwa kama kweli ana dhamira safi anaposema viongozi wa dini wasijihusishe na siasa basi akanushe kama uchaguzi uliopita hakugombea ubunge kwa tiketi ya CCM,hapo mate yalimkauka na akawa nakigugumizi cha ghafla,na alipobanwa sana akakiri kuwa kweli aligombea ubunge.

Nilipigwa na butwaa kwani hapo mwanzo nilidhani ni kweli yeye ni kiongozi wa dini anayechukia viongozi wa dini kujihusiha na siasa.Wito kwa wnegine: If you live in a stone house never throw stones to your neighbour.

Pia katika maelezo yake alitoa takwimu chonganishi juu ya idadi ya watanzania wa dini na madhehebu mbalimbali,ameulizwa hiyo sensa ya kidini aliifanya lini na wapi, akapata kigugumizi:wito,huu sio mwaka 47 unapokuja kuongea mbele ya vyombo vya habari inabidi ujipange sawasawa.
ngonani
====>Mkuu hao wachungaji hata shule yao haiko sawa,wanajiokotaokota mtaani huku na ukali wa maisha then wanaanzisha vikanisa uchwara,njaaa tu hapo.
 
Last edited by a moderator:
It is very sad how christians have let their pastor to do the thinking for them

Wakuu kila mmoja wetu anaamini Mwenyezi Mungu wake na hii haina UBISHI! Lakini sasa hivi na wala siyo siri watu wanatumia DINI kama biashara tu. Mimi nikienda kanisani siendi kwa sababu ya ASKOFU au MCHUNGAJI fulani, hapana kwani hawa binadamu wamekuwa WALAGHAI MNO! Karibu makanisa mengi unaweza kuyalinganisha na baadhi ya vyama vya siasa hapa nchini! Nikiwa na maana kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vilianzishwa kwa nia na malengo mazuri kama zilivyo baadhi ya DINI, lkn cha ajabu watu (VIONGOZI WAANDAMIZI) wanageuza hivi vyombo kama MALI ZAO au MIRADI YAO ya kutafutia UTAJIRI.
Hivyo basi ni kupoteza mda kuanaza kuongelea hawa MAASKOFI NJAA amabo maskini hawajui kuwa jamii imeisha wafahamu kama jamii ilivokwisha wafahamu wanasiasa wenye NJAA.
Wanajanvi angalia nchi za jirani kama KENYA hayo makanisa yanavyofanya USANII na kujipatia hela kwa kuwadanganya WAUMINI, na hiki ndo kitu kinacho anza kujitokeza hapa KWETU. ETI mtu mchungaji nani anapita na kufukuza PEPO, et anapita na kuwaombea watu na wanapona. HUU ni uongo mtupu kabisa.
My take: TUSIWAKUBALI hawa maaskofu njaa na tuwakatae kabisa. Mtu unaweza ukukaa nyumbani ukasali kwa kumuomba MUNGU wako unaye mtambua. Fanya mema kwa mfano wasaidie wenye shida kama una kauwezo fulani na hii ni zaidi ya kuamka ASUBUHI JUMAPILI eti ninakwenda kuombewa na MAASKOFU NJAA. TUWAKATAE KABISA!!!!
 
Katika hali ya kushangaza leo asubuhui katika kipindi cha mahojiano channel ten,mgeni alikuwa ni Asofu Erasto wa Kanisa fulani la kiroho.Yeye alikuwa anawakosoa maaskofu waliotoa tamko kuhusu waumini kutopigia kura katiba pendekezwa.

Kwa maoni yake viongozi wa dini hawakutakiwa kabisa kujihusisha na siasa,na katika maongezi yake ilionekana wazi kuwa ana chuki binafsi na Kanisa Katoliki.Hata hivyo kitu kilichovutia katika maongezi hayo ni pale wasikilizaji walipoanza kuchangia kwa njia ya simu.

Humphrey polepole pamoja na kumfafanulia kuwa haikuwa hoja ya kanisa Katoliki peke yao,yeye aliendelea kulishambulia kanisa ilo,pia juu ya hoja ya Humphrey kuwa kuna viongozi wa dini wanapewa bahasha yeye alikanusha na kudai kuwa hata yeye anasingiziwa kuwa kapewa milioni 200 wakati sio kweli.

Mchangiaji aliyejitanabaisha kwa jina la Mchunga alimpa kavukavu kuwa kama kweli ana dhamira safi anaposema viongozi wa dini wasijihusishe na siasa basi akanushe kama uchaguzi uliopita hakugombea ubunge kwa tiketi ya CCM,hapo mate yalimkauka na akawa nakigugumizi cha ghafla,na alipobanwa sana akakiri kuwa kweli aligombea ubunge.

Nilipigwa na butwaa kwani hapo mwanzo nilidhani ni kweli yeye ni kiongozi wa dini anayechukia viongozi wa dini kujihusiha na siasa.Wito kwa wnegine: If you live in a stone (GLASS) house never throw stones to your neighbour.

Pia katika maelezo yake alitoa takwimu chonganishi juu ya idadi ya watanzania wa dini na madhehebu mbalimbali,ameulizwa hiyo sensa ya kidini aliifanya lini na wapi, akapata kigugumizi:wito,huu sio mwaka 47 unapokuja kuongea mbele ya vyombo vya habari inabidi ujipange sawasawa.

Hao ndio kina Samwel Sitta; wachungaji wa shetani. wataumbuka wengi mwaka huu.
 
Hivi huyo humphrey polepole mnamuonaga ndo ana akili sana eeh?.
kwanza swali ameuliza,eti halikua suala la wakatolic,sawa,big ishu hapa ni viongozi wa dini kujiingiza katika siasa.
huwa nakiangalia hiki kihamphrey kinaongea kwa kujidai eti kina akili mob,kumbe njaa inamsumbua

Sasa kama ni njaa si angekimbilia huko kwenye mlo kama huyo "askofu"? Mtu akiusimamia ukweli mnasingizia ana njaa, ila iko wazi kuwa ukitaka shibe ya bure unga mkono ccm na jivue akili. Hayo Polepole kayakataa kijana yule.
 
Hao ndio kina Samwel Sitta; wachungaji wa shetani. wataumbuka wengi mwaka huu.

Wakuu kila mmoja wetu anaamini Mwenyezi Mungu wake na hii haina UBISHI! Lakini sasa hivi na wala siyo siri watu wanatumia DINI kama biashara tu. Mimi nikienda kanisani siendi kwa sababu ya ASKOFU au MCHUNGAJI fulani, hapana kwani hawa binadamu wamekuwa WALAGHAI MNO! Karibu makanisa mengi unaweza kuyalinganisha na baadhi ya vyama vya siasa hapa nchini! Nikiwa na maana kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vilianzishwa kwa nia na malengo mazuri kama zilivyo baadhi ya DINI, lkn cha ajabu watu (VIONGOZI WAANDAMIZI) wanageuza hivi vyombo kama MALI ZAO au MIRADI YAO ya kutafutia UTAJIRI.
Hivyo basi ni kupoteza mda kuanaza kuongelea hawa MAASKOFI NJAA amabo maskini hawajui kuwa jamii imeisha wafahamu kama jamii ilivokwisha wafahamu wanasiasa wenye NJAA.
Wanajanvi angalia nchi za jirani kama KENYA hayo makanisa yanavyofanya USANII na kujipatia hela kwa kuwadanganya WAUMINI, na hiki ndo kitu kinacho anza kujitokeza hapa KWETU. ETI mtu mchungaji nani anapita na kufukuza PEPO, et anapita na kuwaombea watu na wanapona. HUU ni uongo mtupu kabisa.
My take: TUSIWAKUBALI hawa maaskofu njaa na tuwakatae kabisa. Mtu unaweza ukukaa nyumbani ukasali kwa kumuomba MUNGU wako unaye mtambua. Fanya mema kwa mfano wasaidie wenye shida kama una kauwezo fulani na hii ni zaidi ya kuamka ASUBUHI JUMAPILI eti ninakwenda kuombewa na MAASKOFU NJAA. TUWAKATAE KABISA!!!!
 
  • Thanks
Reactions: MTK

Back
Top Bottom