Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 45,270
- 37,048
yaani kwasababu ya huyo eti mnamuita askofu wakati ni kibaka wa kidini ndio wa kutesa mtu kweli gentleman?🤣😅😂😍🤣😃🤪🤪Mkuu Pole
Unatesekea Ukiwa Wapi
Omba Maji Unywe Upooze Koo
acheni upotoshaji nonsense bana ndugu wafuata mkumbo 🐒