Baba Askofu Dr. Benson Bagonza: Tuheshimu nguvu ya hoja

Baba Askofu Dr. Benson Bagonza: Tuheshimu nguvu ya hoja

watawala wanajisahau.serikali imepewa mamlaka ya kutawala nchi,kupanga na kuamua kwa niaba ya wananchi kwa mujibu wa sheria na katiba sio kutawala fikra zetu ,kupanga na kuamua tufikulie nini vichwani mwetu.
 
Kwa hiyo ukikosolewa unakasilika unachukua rungu , kwa nini na wewe usimkosoe tu mkosoaji wako?
Ujue unapomkosoa mtu unaingilia Uhuru wake wa kufanya mambo. Anaweza kukuambiambia unakosea wakati uko sahihi na unaamini uko sahihi ili kukutoa kutoka njia sahihi ili akucheke
 
Hizi ndio injini zinazotakiwa kurudi uwanjani, kushika kalamu na karatasi ili kulinda na kutetea usalama wa nchi unaomomonyoka.
May God bless your conscious daima na milele, "Dr. Bishop"
 
Nikushangae tu wewe na wenzio wa uoande ule mnavyoshabikia hoja za Askofu pasipo kuzichambua kwa kina. Ni aibu kuyatafsiri maneno ya kifalsafa na kiumini, kisiasa.

Aliyoyasema Askofu ni tahadhari kwa viongozi wa vyama vya siasa, hasa upinzani, ambao matukio ndiyo imekuwa agenda kuu, na siyo Sera za kudumisha Uhuru wetu.
Uzuri ni kwamba Mungu kamjalia kila mmoja wetu uwezo wake wa kufikiri na kutafsiri jambo kadiri ya ufahamu wake.
Husi force tufanane.
Panic at your own risk.
 
Nondo za Uhakika.
watu kama hawa ni hazina kubwa.

Uhuru ndio ilikuwa hitaji kuu kwa Taifa.Uhuru ni biashara .Uhuru ni uchumi
 
Uhuru upo sana hapa Tanzania, hapa cha kuangalia ni mipaka ya Uhuru. Hata mungu alipompa mwanadamu Uhuru akamwekea amri ili kuweka mipaka ya Uhuru. Sijaona aliyenyimwa Uhuru, ni watu hawajui namna ya kutumia Uhuru hapo ndo linapoanzia hiyo kauli ya kunyimwa Uhuru wanayosema watu
Kwa akili hii, mpaka kiama hautaelewa.
 
Huyu askofu kaandika mambo mazito sana!! Ni rahis kusema yameeleweka lakn nachelea kusema yameeleweka machache sana. Kama ingekua ni barua imetumwa ikulu nina uhakika ilitakiwa jopo la washauri wa mkuu wautolee ufafanuz huu ujumbe
 
Nikushangae tu wewe na wenzio wa uoande ule mnavyoshabikia hoja za Askofu pasipo kuzichambua kwa kina. Ni aibu kuyatafsiri maneno ya kifalsafa na kiumini, kisiasa.

Aliyoyasema Askofu ni tahadhari kwa viongozi wa vyama vya siasa, hasa upinzani, ambao matukio ndiyo imekuwa agenda kuu, na siyo Sera za kudumisha Uhuru wetu.
We nawe ukitukanwa mtu anapigwa ban?! Utakuwa ni uonevu
 
Mi naona naye anatafuta nafasi ya kuonana au kupigiwa simu na rais. Kwani aliyoongea siyo mapya. Maneno tupu sioni watu wanashabikia nini, kaongea ndio, then what?!
 
Hii imekaa vizuri. Ninawasiwasi dab, anayeimarisha uharamia kwa kuwa ndiyo ngazi yake ya kupandia, akisoma hii atafunga safari na wasiojulikana.

Mungu Tunusuru na ukamisaa wa akili za dab.
Mkuu DAB ni kanisaa mbaya sana.....killing a person it's not an issue
 
Mi naona naye anatafuta nafasi ya kuonana au kupigiwa simu na rais. Kwani aliyoongea siyo mapya. Maneno tupu sioni watu wanashabikia nini, kaongea ndio, then what?!
Kwahiyo MTU kuandika message ya ilim basi anataka kupigiwa?.
 
Naona sasa baadhi ya viongozi wa dini wameanza kutumia vichwa kufikiri badala ya mitumbo yao.
 
Aliyo yaongea kuhusu uhuru ni kweli taifa lolote lina hitaji sana uhuru kuliko kitu chochote nnacho shangaa tulipo pata uhuru ghafla tulianza kutumia tena sheria zile zile za mkoloni pia baadh ya vyombo vya usalama aka police wakati wa mkoloni jeshi hili lilikua linaitwa police force na cha kushangaza bado linaitwa hivyo hivyo badala ya kuitwa police service now jeshi hili linahitaji maboresho liwe na little sense ya demokrasia na sio maguvu kila saa lakini kwa vile lina service upande wao they don't care.
Well said
 
Back
Top Bottom