Baba Askofu Dr. Benson Bagonza: Tuheshimu nguvu ya hoja

Baba Askofu Dr. Benson Bagonza: Tuheshimu nguvu ya hoja

Huyu askofu kaandika mambo mazito sana!! Ni rahis kusema yameeleweka lakn nachelea kusema yameeleweka machache sana. Kama ingekua ni barua imetumwa ikulu nina uhakika ilitakiwa jopo la washauri wa mkuu wautolee ufafanuz huu ujumbe
Umenikumbusha Nebukdreza, Mfalme, alivyowakusanya wakuu na wachawi wote wa Babeli ili kumfasiria yale maneno ya ukutani - MENE, MENE, TEKEL lakini hawakuambulia kitu na ndivyo itakavyokuwa huko Jumba Jeupe. Anahahitajika "Daniel" kumfasiria Mkuu sio akina DAB.
 
tatizo la hawa maaskofu waliopo sasa wengi magumashi elimu za shule ya kata wale wa makanisa ya kimagumash. kina upako kikikiiki akitembelewa na baba nanihii jesca kesho uake somo la waumini liakuwa kumsifia mkulu na kuponda wapinzani unategemea nini
 
Kuna watu ni tunu ya nchi nahisi pia haya maneno ya Bb askofu yanadhihirisha anatakiwa awe miongoni mwao.Kwangu sitegemei tena mwaka huu kupata nondo ya uhakika inayohusu maslahi. ya ustawi wa taifa hili kwa sku za usoni zaidi ya pambio hili. Mungu awe nawe baba askofu.
 
Nina wakubali sana maaskofu kama hawa Niyemugizi, Bagonza na kulikuwa na yule mwingine ambaye alikumbwa na pepo la takrima wa huko huko Bukoba , Bila kumsahau na hatutamsahau milele Mch Christopher Mtikila.

Wataishi hata kama hawatakuwepo duniani.
 
Umenikumbusha Nebukdreza, Mfalme, alivyowakusanya wakuu na wachawi wote wa Babeli ili kumfasiria yale maneno ya ukutani - MENE, MENE, TEKEL lakini hawakuambulia kitu na ndivyo itakavyokuwa huko Jumba Jeupe. Anahahitajika "Daniel" kumfasiria Mkuu sio akina DAB.
Mkuu wewe ni hatari. DAB anatembea makanisa yote abaomba kuombewa
 
4. Kwa mantiki ya niliyosema juu, utakuta vijana wengi wana kumbukumbu nyingi kuliko ndoto. Kumbukumbu zikiwa nyingi kuliko ndoto ni dalili ya taifa kuwa limesimama. Jana haiwezi kuwa bora kuliko kesho tukawa salama.

.

Hii ni nukuu ya leo....
 
Atakuwa sio raia huyu..
Kama siyo Raia (na amezaliwa Wilaya ya Biharamulo), Hivyo wengine pia waliozaliwa Wilaya ya Biharamulo (Magharibi na Mashariki) wakiwemo na wale walio soma Katoke Seminari, nao SIYO RAIA wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom