Kigogo NMB Kortini kwa Kulawiti mwanafunzi, alimchukua amsomeshe akawa anamwonesha video za ngono

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Afisa Mwandamizi wa Benki ya NMB Tawi la Clock Tower idara ya Mikopo Jijini Arusha,George Kifaruka{43} mkazi wa Kijenge kata ya Kimandolu Jijini Arusha amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka moja la kumlawiti Mwanafunzi wa sekondari aliyechini ya miaka 17.

Akisomewa Mashitaka na Mwendesha Mashitaka wa serikali,Grace Medikenya mbele ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya wilaya ya Arusha,Heriet Marando ilidaiwa kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo julai 8 hadi 10 mwaka huu nyumba kwake Jijini Arusha .

Medikenya alidai Mhanga ambaye kwa sasa anahifadhiwa jina ni mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Olasiti kidato cha pili na alikuwa akiishi naye kwa lengo la kumsomesha lakini alidai fadhila kwa kumlawiti na kumharibu vibaya sehemu zake za siri.

Mtuhumiwa alikana shitaka hilo na Mwendesha Mashitaka alidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuiomba mahakama kumsomea maelezo ya awali mbele ya Hakimu Marando.

Katika maelezo ya awali yaliyosomwa na Medikenya ilidaiwa kuwa mtuhumiwa ni mfanyakazi wa benki ya NMB na mkazi wa kijenge na mhanga ni mtoto wa kiume mwanafunzi wa shule ya msingi Olasiti Jijini Arusha na alimchukua akiwa mtoto wa mtaani akitokea mkoani Tanga kwa lengo la kumsomesha masomo ya sekondari.

Mwendesha Mashitaka aliendelea kudai kuwa mtuhumiwa akina na mhanga huyo nyumbani kwake kijenge alianza kumwonyesha picha za ngono za video ili kumshawishi na baadaye alifanikiwa na kuanza kumlawiti.

Medikenya alidai mahakamani hapo kuwa, mhanga aligunduliwa mmoja ya walimu katika shule hiyo baada ya kumpatia adhabh kutokana na kosa la kuchelewa masomo mara kwa mara na ndipo mwanafunzi huyo alipomweleza kuwa anaishi katika mazingira magumu na alipomwita bembeni na kumhoji zaidi ndipo alipomweleza wazi kuwa mfadhili wake anamlawiti.

Alidai baada ya kauli hiyo Mwalimu wa shule hiyo{jina limehifadhiwa} aliamuwa kumchunguza na kumpeleka polisi na baada ya polisi alipelekwa hospital kwa uchunguzi, na uchunguzi wa awali wa Daktari ulibainika kuwa mhanga alishaharibika vibaya kwa kulawitiwa.

Baada ya kusomewa maelezo hayo ya awali,mtuhumiwa alikiri jina lake,anwani yake na makazi anapoishi,pia alikiri kumsomesha mhanga,na alikiri kukamatwa na hatimaye kufikishwa mahamani, lakini alikana mashitaka mengine yanayomkabili.

Mwendesha mashtaka alieleza kuwa upande wa Jamuhuri utakuwa na mashahidi sita katika kesi hiyo na vielelezo viwili na kesi hiyo inatarajiwa kuanza kusikilizwa agosti 10 mwaka huu.

Hakimu Marando alimwambia mtuhumiwa kuwa kesi hiyo ina dhamana ya watu wawili watumishi wa serikali wenye utambulisho wa nakala ya barua kutoka kwa waajili wao lakini hadi tunakwenda mtamboni bado mtuhumiwa alikuwa hajakamilisha taratibu za dhamana.

Hata hivyo taarifa za kiuchunguzi na upelelezi wa jeshi la polisi zimedai kuwa mshtakiwa huyo naye amekuwa akijihusisha na ushoga kwa kuruhusu kuingiliwa ili apate kasi ya kufanya ngono ikiwemo kumlawiti kijana huyo.

IMG-20230727-WA0011.jpg
 
Afisa Mwandamizi wa Benki ya NMB Tawi la Clock Tower idara ya Mikopo Jijini Arusha,George Kifaruka{43} mkazi wa Kijenge kata ya Kimandolu Jijini Arusha amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka moja la kumlawiti Mwanafunzi wa sekondari aliyechini ya miaka 17.

Akisomewa Mashitaka na Mwendesha Mashitaka wa serikali,Grace Medikenya mbele ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya wilaya ya Arusha,Heriet Marando ilidaiwa kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo julai 8 hadi 10 mwaka huu nyumba kwake Jijini Arusha .

Medikenya alidai Mhanga ambaye kwa sasa anahifadhiwa jina ni mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Olasiti kidato cha pili na alikuwa akiishi naye kwa lengo la kumsomesha lakini alidai fadhila kwa kumlawiti na kumharibu vibaya sehemu zake za siri.

Mtuhumiwa alikana shitaka hilo na Mwendesha Mashitaka alidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuiomba mahakama kumsomea maelezo ya awali mbele ya Hakimu Marando.

Katika maelezo ya awali yaliyosomwa na Medikenya ilidaiwa kuwa mtuhumiwa ni mfanyakazi wa benki ya NMB na mkazi wa kijenge na mhanga ni mtoto wa kiume mwanafunzi wa shule ya msingi Olasiti Jijini Arusha na alimchukua akiwa mtoto wa mtaani akitokea mkoani Tanga kwa lengo la kumsomesha masomo ya sekondari .

Mwendesha Mashitaka aliendelea kudai kuwa mtuhumiwa akina na mhanga huyo nyumbani kwake kijenge alianza kumwonyesha picha za ngono za video ili kumshawishi na baadaye alifanikiwa na kuanza kumlawiti.

Medikenya alidai mahakamani hapo kuwa, mhanga aligunduliwa mmoja ya walimu katika shule hiyo baada ya kumpatia adhabh kutokana na kosa la kuchelewa masomo mara kwa mara na ndipo mwanafunzi huyo alipomweleza kuwa anaishi katika mazingira magumu na alipomwita bembeni na kumhoji zaidi ndipo alipomweleza wazi kuwa mfadhili wake anamlawiti.

Alidai baada ya kauli hiyo Mwalimu wa shule hiyo{jina limehifadhiwa} aliamuwa kumchunguza na kumpeleka polisi na baada ya polisi alipelekwa hospital kwa uchunguzi, na uchunguzi wa awali wa Daktari ulibainika kuwa mhanga alishaharibika vibaya kwa kulawitiwa.

Baada ya kusomewa maelezo hayo ya awali,mtuhumiwa alikiri jina lake,anwani yake na makazi anapoishi,pia alikiri kumsomesha mhanga,na alikiri kukamatwa na hatimaye kufikishwa mahamani, lakini alikana mashitaka mengine yanayomkabili.

Mwendesha mashtaka alieleza kuwa upande wa Jamuhuri utakuwa na mashahidi sita katika kesi hiyo na vielelezo viwili na kesi hiyo inatarajiwa kuanza kusikilizwa agosti 10 mwaka huu.

Hakimu Marando alimwambia mtuhumiwa kuwa kesi hiyo ina dhamana ya watu wawili watumishi wa serikali wenye utambulisho wa nakala ya barua kutoka kwa waajili wao lakini hadi tunakwenda mtamboni bado mtuhumiwa alikuwa hajakamilisha taratibu za dhamana.

Hata hivyo taarifa za kiuchunguzi na upelelezi wa jeshi la polisi zimedai kuwa mshtakiwa huyo naye amekuwa akijihusisha na ushoga kwa kuruhusu kuingiliwa ili apate kasi ya kufanya ngono ikiwemo kumlawiti kijana huyo

View attachment 2701240
Aisee
 
Pamoja na yote kwny kesi hii, hii Tume ya Mh.Rais iangalie hiki kipengele cha dhamana kuwa lazima uwe na wadhamini ambao ni Watumishi wa Umma…kimekaa kubaguzi sana

Mtu anaweza kuwa ana biashara zake na vitega uchumi vya Mabilioni lakini dhamana lazima iwe Mtumishi wa Umma

ukija kwny kosa husika Sheria ichukue mkondo wake kwa udhalimu na udhalilishaji huo na ikikutwa ni michezo ya makazini kuharibiana kwny harakati za kugombea vyeo pia wahusika washughulikiwe ikiwemo Daktari
 
Mimi nasubiria mahakama ifanye tu kazi yake. Kuna sentensi nikisoma kwenye hii habari naona chenga tu. Hapo kwa mwalimu wa shule ya msingi na daktari pana utata.
 
Back
Top Bottom