Afisa wa benki ya NMB Arusha anaedaiwa kulawiti Yatima afikishwa mahakamani

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,848
15,252
Afisa Mwandamizi wa Benki ya NMB Tawi la Clock Tower idara ya Mikopo Jijini Arusha, George Kifaruka {43} mkazi wa Kijenge kata ya Kimandolu Jijini Arusha amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka moja la kumlawiti Mwanafunzi wa sekondari aliyechini ya miaka 17.

Akisomewa Mashitaka na Mwendesha Mashitaka wa serikali,Grace Medikenya mbele ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya wilaya ya Arusha,Heriet Marando ilidaiwa kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo julai 8 hadi 10 mwaka huu nyumba kwake Jijini Arusha.

Medikenya alidai Mhanga ambaye kwa sasa anahifadhiwa jina ni mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Olasiti kidato cha pili na alikuwa akiishi naye kwa lengo la kumsomesha lakini alidai fadhila kwa kumlawiti na kumharibu vibaya sehemu zake za siri.

Mtuhumiwa alikana shitaka hilo na Mwendesha Mashitaka alidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuiomba mahakama kumsomea maelezo ya awali mbele ya Hakimu Marando.

Katika maelezo ya awali yaliyosomwa na Medikenya ilidaiwa kuwa mtuhumiwa ni mfanyakazi wa benki ya NMB na mkazi wa kijenge na mhanga ni mtoto wa kiume mwanafunzi wa shule ya msingi Olasiti Jijini Arusha na alimchukua akiwa mtoto wa mtaani akitokea mkoani Tanga kwa lengo la kumsomesha masomo ya sekondari .

Mwendesha Mashitaka aliendelea kudai kuwa mtuhumiwa akina na mhanga huyo nyumbani kwake kijenge alianza kumwonyesha picha za ngono za video ili kumshawishi na baadaye alifanikiwa na kuanza kumlawiti.

Medikenya alidai mahakamani hapo kuwa, mhanga aligunduliwa mmoja ya walimu katika shule hiyo baada ya kumpatia adhabh kutokana na kosa la kuchelewa masomo mara kwa mara na ndipo mwanafunzi huyo alipomweleza kuwa anaishi katika mazingira magumu na alipomwita bembeni na kumhoji zaidi ndipo alipomweleza wazi kuwa mfadhili wake anamlawiti.

Alidai baada ya kauli hiyo Mwalimu wa shule hiyo{jina limehifadhiwa} aliamuwa kumchunguza na kumpeleka polisi na baada ya polisi alipelekwa hospital kwa uchunguzi, na uchunguzi wa awali wa Daktari ulibainika kuwa mhanga alishaharibika vibaya kwa kulawitiwa.

Baada ya kusomewa maelezo hayo ya awali,mtuhumiwa alikiri jina lake,anwani yake na makazi anapoishi,pia alikiri kumsomesha mhanga,na alikiri kukamatwa na hatimaye kufikishwa mahamani, lakini alikana mashitaka mengine yanayomkabili.

Mwendesha mashtaka alieleza kuwa upande wa Jamuhuri utakuwa na mashahidi sita katika kesi hiyo na vielelezo viwili na kesi hiyo inatarajiwa kuanza kusikilizwa agosti 10 mwaka huu.
 
Afisa Mwandamizi wa Benki ya NMB Tawi la Clock Tower idara ya Mikopo Jijini Arusha,George Kifaruka{43} mkazi wa Kijenge kata ya Kimandolu Jijini Arusha amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka moja la kumlawiti Mwanafunzi wa sekondari aliyechini ya miaka 17.

Akisomewa Mashitaka na Mwendesha Mashitaka wa serikali,Grace Medikenya mbele ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya wilaya ya Arusha,Heriet Marando ilidaiwa kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo julai 8 hadi 10 mwaka huu nyumba kwake Jijini Arusha.
Medikenya alidai Mhanga ambaye kwa sasa anahifadhiwa jina ni mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Olasiti kidato cha pili na alikuwa akiishi naye kwa lengo la kumsomesha lakini alidai fadhila kwa kumlawiti na kumharibu vibaya sehemu zake za siri.

Mtuhumiwa alikana shitaka hilo na Mwendesha Mashitaka alidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuiomba mahakama kumsomea maelezo ya awali mbele ya Hakimu Marando.
Katika maelezo ya awali yaliyosomwa na Medikenya ilidaiwa kuwa mtuhumiwa ni mfanyakazi wa benki ya NMB na mkazi wa kijenge na mhanga ni mtoto wa kiume mwanafunzi wa shule ya msingi Olasiti Jijini Arusha na alimchukua akiwa mtoto wa mtaani akitokea mkoani Tanga kwa lengo la kumsomesha masomo ya sekondari .

Mwendesha Mashitaka aliendelea kudai kuwa mtuhumiwa akina na mhanga huyo nyumbani kwake kijenge alianza kumwonyesha picha za ngono za video ili kumshawishi na baadaye alifanikiwa na kuanza kumlawiti.

Medikenya alidai mahakamani hapo kuwa, mhanga aligunduliwa mmoja ya walimu katika shule hiyo baada ya kumpatia adhabh kutokana na kosa la kuchelewa masomo mara kwa mara na ndipo mwanafunzi huyo alipomweleza kuwa anaishi katika mazingira magumu na alipomwita bembeni na kumhoji zaidi ndipo alipomweleza wazi kuwa mfadhili wake anamlawiti.

Alidai baada ya kauli hiyo Mwalimu wa shule hiyo{jina limehifadhiwa} aliamuwa kumchunguza na kumpeleka polisi na baada ya polisi alipelekwa hospital kwa uchunguzi, na uchunguzi wa awali wa Daktari ulibainika kuwa mhanga alishaharibika vibaya kwa kulawitiwa.

Baada ya kusomewa maelezo hayo ya awali,mtuhumiwa alikiri jina lake,anwani yake na makazi anapoishi,pia alikiri kumsomesha mhanga,na alikiri kukamatwa na hatimaye kufikishwa mahamani, lakini alikana mashitaka mengine yanayomkabili.

Mwendesha mashtaka alieleza kuwa upande wa Jamuhuri utakuwa na mashahidi sita katika kesi hiyo na vielelezo viwili na kesi hiyo inatarajiwa kuanza kusikilizwa agosti 10 mwaka huu.
Dah tamaa hizi za kijinga sana
Hakuna mafanikio ya mkato
Waganga wanawadanganya sana watu

Niweke picha yake?

Namfahamu huyu mpuuzi
 
Huyo mtoto anatokea Tanga ni kama inaanza kuingia akilini,mbona awali walisema anasoma sinon na mwalimu aligundua baada ya kuona matendo yake na kumkuta na pampasi ,hivi vitoto yawezekana kametokea kwao na tabia yake hiyo kakaamua kumsingizia huyo jamaa,yaani mbususu zote za benk na wateja amekosa mbususu hadi aingie shimo la choo
 
Palipo na roho na nia nzuri, shetani huingizia roho za tamaa.

Jamaa alikuwa na nia nzuri sana. Kumsaidia binti huyo. Kwa namna yeyote huwezi kusema nia yake ilikuwa kumchukua ili kumlawiti.

Shetani akapata nafasi, akamshawishi kukaa naye na pengine kumnawirisha, akaingiza tamaa. Jamaa yetu akajaa.

Mungu atusaidie. Ukipata nafasi ya kumsaidia mwanafunzi haswa wa kike, usikae naye. Mwache akae mbali, wewe timiza wajibu mwingine. Dhibiti tamaa za kipuuzi na muombe sana Mungu.
 
Kwani mlawitiwa ni Binti au wa kiume??
 
Ni

Ni wa kiume
 
Upo sahihi kabisaa!!!
Tunamhitaji MUNGU ili kuepukana na vishawishi vya kijinga
 
Palipo na roho na nia nzuri, shetani huingizia roho za tamaa.

Jamaa alikuwa na nia nzuri sana. Kumsaidia binti huyo. Kwa namna yeyote huwezi kusema nia yake ilikuwa kumchukua ili kumlawiti.

Shetani akapata nafasi, akamshawishi kukaa naye na pengine kumnawirisha, akaingiza tamaa. Jamaa yetu akajaa.

Mungu atusaidie. Ukipata nafasi ya kumsaidia mwanafunzi haswa wa kike, usikae naye. Mwache akae mbali, wewe timiza wajibu mwingine. Dhibiti tamaa za kipuuzi na muombe sana Mungu.
Huyo kwanini Binti ni mtoto wa kiume amelawitiwa
 
Huyo mtoto anatokea Tanga ni kama inaanza kuingia akilini,mbona awali walisema anasoma sinon na mwalimu aligundua baada ya kuona matendo yake na kumkuta na pampasi ,hivi vitoto yawezekana kametokea kwao na tabia yake hiyo kakaamua kumsingizia huyo jamaa,yaani mbususu zote za benk na wateja amekosa mbususu hadi aingie shimo la choo
Wewe ni mpumbavu
 
Alimtoa mtaani kwa nia ya kumsaidia. Huko mtaani it's very possible kulawitiwa was very normal. There is more than what the kid is saying.
 
Iko hivyo naamini Kuna historia ndefu kabla ulawiti haujaanza.hapa tumepewa tu kwa ufupi
 
Back
Top Bottom