Baba akiwajibika.

Baba akiwajibika.

How nice,,..mapenzi kwa mwanae,kwani kumbana mtoto nywele inapunguza uanaume wako jamanii?sio kila kitu lazma afanye wife,#kwa wale wanaobisha
 
God rest his soul girl.

Hata me sina picha ila my Dad alikuwa ananipeleka saloon anawaambia wanisuke style "utii wa roda" kwa ajili ya shule. I was 8yrs old na mama alikuwa shule.tukitoka hapo kwenda kula koni.. RIP Dad... I really miss him
 
Mtoto wa kiafrika miaka 3 au 4 tangu lini akawa na nywele ndefu kiasi hicho?mambo ya kithungu hayo hayatuhusu...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
God rest his soul dearest.
 
wapo wanaoweza, ila huyo baba hapo ni alibaki mwenykama vile ewe hapo nyumbani.

Hao ni wale waafrika wanaokuwaga mahouseboy wa wawake wa kizungu kazi yao ni kubaki nyumbani kulea na kuhudumia watoto. Wanaingiaga kwenye ndoa na wanawake wa kizungu ili wapate uraia ughaibuni. At old age wanarudigi Afrika mikono mitupu, watoto wanabaki ng'ambo na mama yao. Uwongo Nyani Ngabu? tehe tehe tehe natania tu japo kuna kaukweli.
 
mie nilimshuhudia mbaba mmoja tangu tumeitembelea ile familia alikuwa amebeba mtoto, mtoto alivyojisaidia alimsafisha na kumbadilisha mavazi. wife wake alikuwepo na trip za jikoni na sebuleni. mambo kusaidiana. Caroline Danzi waikumbuka ile?

Safi kabisa, haya mambo ni kusaidiana hakuna cha limbwata wala nini. Ukikuta mume kabeba mkwe mgongoni utaambiwa ni mapenzi akibeba mtoto limbwata
 
kwa taarifa yako wanawake wa sasa hivi ndo tunawalea nyie kwani nafasi yenu mmeishinda kuitumia hivyo hakutakuwa na pasi tena ndo sisi tumeamua kuingia dimbani kwani tunaoona nyie mmekuwa wavivu sana
Basi na matumizi ya kuhudumia familia (kodi ya meza, ada za watoto, bills za umeme, maji etc) yawe sawa kama mnataka huo usawa. Hao wadhungu wanachangia kila kitu pasu kwa pasu, sisi tunawalea sana eti
 
kwa taarifa yako wanawake wa sasa hivi ndo tunawalea nyie kwani nafasi yenu mmeishinda kuitumia hivyo hakutakuwa na pasi tena ndo sisi tumeamua kuingia dimbani kwani tunaoona nyie mmekuwa wavivu sana

hili tusi la waziwazi
 
Hao ni wale waafrika wanaokuwaga mahouseboy wa wawake wa kizungu kazi yao ni kubaki nyumbani kulea na kuhudumia watoto. Wanaingiaga kwenye ndoa na wanawake wa kizungu ili wapate uraia ughaibuni. At old age wanarudigi Afrika mikono mitupu, watoto wanabaki ng'ambo na mama yao. Uwongo Nyani Ngabu? tehe tehe tehe natania tu japo kuna kaukweli.

wewe jamaa ndio nini kunibadilishia mpangilio wa maneno?
 
Mtoto wa kiafrika miaka 3 au 4 tangu lini akawa na nywele ndefu kiasi hicho?mambo ya kithungu hayo hayatuhusu...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

wenye vpilpil vyenu mshakariri wenye manywele yetu kitu chawaida sana
 
Back
Top Bottom