Mwanamke nywele kiwatengu usimnyoe bhana weee mwache tu asuke zikue vizuri asije kupata hasara ya kununua minywele ya maiti...
Mleete kwa aunt wake ntamsuka🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Last edited by a moderator:
huyo kapgwa kipapai na mke wake, si bure. Kama sivyo basi mke wake anamuweza (anamdunda). Haiwezekan, haiwezekan, haiwezekaniiiii #pamejiandka hapa#
Nyani Ngabu wewe huwezi fanya hivo?....kumbuka hao ni watoto wako mwenyeo utahiari wawe wachafu?Limbwata hilo
Mimi mbona huwa namwogesha binti yangu?
nywele huwa namnyoa tu.
Ana miaka mingapi?
Nyani Ngabu wewe huwezi fanya hivo?....kumbuka hao ni watoto wako mwenyeo utahiari wawe wachafu?
Wala sina tatizo kabisa mimi.
Husband material...lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mi sina picha lakini Baba yangu/yetu alituangalia mwenyewe kwa zaidi ya mwezi mama aliposafiri na tulikuwa wadogo kweliAll men are fathers but not all fathers are Dads. My Dad oiled my hair. Nina picha akinisaidia kufumua nywele nilikuwa nimesuka.
Mi sina picha lakini Baba yangu/yetu alituangalia mwenyewe kwa zaidi ya mwezi mama aliposafiri na tulikuwa wadogo kweli
Hapana chezea Baba shuti kutupeleka kula out kila siku na Drive In Cinema za kutosha......tulikuwa tunajitawala na kufanya fujo kwa kiwango chakutisha
RIP Dominic
God rest his soul girl.
Huyo mwnaume atakuwa hafai na atakuwa hana daytime kwa mkewe ndo maana anafanya yote hayo ila nampa pole sana.
All men are fathers but not all fathers are Dads. My Dad oiled my hair. Nina picha akinisaidia kufumua nywele nilikuwa nimesuka.
Do you still play with your daddy?