Hakuna cha kipapai wala kinanasi.....wamependana wenyewe wanasaidiana majukumu.....wanaume wa kiafrika mnashida nyie aaaagh
Wababa wa Kitanzania mnayaweza kweli haya? Wangapi kati yenu mshawahi hata kuzibana nywele za mabinti zenu?
Hii habari nimeitoa Yahoo. Hii picha ilienda viral baada ya jamaa kuiweka kwenye mtandao. Kwa habari zaidi ingia hapa
![]()
kwa taarifa yako wanawake wa sasa hivi ndo tunawalea nyie kwani nafasi yenu mmeishinda kuitumia hivyo hakutakuwa na pasi tena ndo sisi tumeamua kuingia dimbani kwani tunaoona nyie mmekuwa wavivu sana
Haya bana, ila mimi simo hapo kwa red
hahahahaha jamani bora hupo unisaidie kitu besti kwani niko njia panda sasa