The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,433
- 13,416
chato iko juuu juuu juuu zaidiWatanzania sometimes tunapenda kulalamika bila kufanya uchunguzi na kujudge picha na video za kwenye mitandao,nilikuwa kwenye hiyo mbuga miezi miwili iliyopita na kweli kuna baadhi ya wanyama ambao ni wengi kwenye hiyo mbuga na baadhi kupunguzwa na kuhamishwa kwenye mbuga nyingine mpya,mbuga mpya imefunguliwa,wanyama wanaongezwa ili waende kuzaliana kwenye mbunga hiyo mpya .
Hayo ni maendeleo,kuna misitu mingi sana hii Tanzania na Mapori ambayo bado hazijaitwa mbuga na kuna wanyama wachache mno,,kuongeza wanyama au kuanzisha mbuga mpya ni akili nzuri sana.
Tuangalie hata baadhi ya mbuga za Africa kusini.
Serengeti ina nyumbu zaidi ya million moja na nusu,unaona wivu nyumbu kumi jinsia tofauti kukamatwa na kupelekwa kwenye mbuga mpya?swala wako wangapi mikumi?Twiga wapo wangapi?