Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,129
Kwa sababu ni chato, hizi nyumbu zinadhani chato ipo congo labda.we nae ni kilaza kama walivyo vilaza wengine hivi hilo jambo la wanyama kuhamishwa ndo unaliskia leo?
mbona lipo siku nyingi sana?
Au kwasabu ni chato ndo imekua shida?