Baadhi ya wanawake na bikra

Duuh yani kwa muda wote ninaosoma vitu vya umu ndani ndo interest na hawa viumbe wa kiume inanitoka kabisaa maana wana maneno mengi mno mpaka nahisi labda kuwa mwenyewe ni bora
 
Duh mna agenda ya kuwakimbiza wanawake jf mbona kila siku wao tu? Wakuu mtaua watu kwa presha aisee
Siyo tu kutukimbiza na pia kutuvuruga kabisa akili zetu,kuna msemo unasema usidai haki kama utimizi wajib sasa wakaka wa siku hizi ndo zao malalamishi kibao kama mnaona vipo waishi tu wenyewe ili kupunguza kelele
 
Hizo za kukuambia msubiri mpaka ndoa huwa ni swaga tu usimuone yupo soft lakini ukimlainisha vzr kwa kumjali unakula mzigo tu, acheni kutumia nguvu nyingi kwa mambo marahisi km haya, women are not grid that way, mpe mda akuelewe mpetipeti kwanini akunyime bwana!!!!!!
 
Uzuri wake misimamo ya kutaka ndoa huelezwa wakati mgegedo unapigwa kama kawaida
 
Duh mna agenda ya kuwakimbiza wanawake jf mbona kila siku wao tu? Wakuu mtaua watu kwa presha aisee
Mkuu hatuwakimbizi ninaongea ukweli wanaboa sana kujishebedua tuuu wakati hana kitu umependwa kataa au kubali siyo maneno meeengi unaamini ipo ukiingia mzigoni inazama yote na inadai na P.... walaaa hajigusi hapo njema inaanza kupoteza stim kwa kumwazia jinsi alivyo kuwa akijishebedua mzigo unalala akitoka hapo sasa oooh wanaume wa siku hizi chips na yai vinawamaliza kitandani wanaboa kweli.
 
Siyo tu kutukimbiza na pia kutuvuruga kabisa akili zetu,kuna msemo unasema usidai haki kama utimizi wajib sasa wakaka wa siku hizi ndo zao malalamishi kibao kama mnaona vipo waishi tu wenyewe ili kupunguza kelele
Kukaa wenyewe siyo Suluhisho kama uliharibu ndiyo hivyo hiyo dhambi itakuandama kisogoni mpaka siku ya mwisho no way maji yamasha mwagika kwa wale waliojitunza saa hii wanasoma hizi comment wakiwa wanachokonoa meno huku akiwa amefunga jicho moja na kumwambia mume/mchumba wake hubby/mpenzi hebu soma hii yaani jamii forum bana anampa asome ila wewe akikuuliza unasoma nini mbona umechukia mpenzi utamwambia honey yaani watu wanaweka picha za ajabu mtandaoni sijui wakoje.Unazidi kumdanganya tena hiyo ndiyo tofauti kwa hii post.
 
Kama umewahi kutoa bikra ya mtu huwezi ng'ang'ania mambo ya bikra...
Kukaa na bikra yako mpaka 20s ni lack of curiosity na probably sex libido iko low.. Au kuna tatizo unalo so unajitenga au kutengwa na jamii.. Anyway ukitengwa na jamii njoo jiunge na forums zao hapa Jamiiforums.
Plus ukitaka kuoa mtu bikra, go and look for your type hukooo.. Si unajua madem likely kuwa bikra wanavyofanana eh.!!? huku kwa watoto wazuri wanaume wenzio tushawaona na tukafanya yetu..
 
Kukaa wenyewe siyo Suluhisho kama uliharibu ndiyo hivyo hiyo dhambi itakuandama kisogoni mpaka siku ya mwisho no way maji yamasha mwagika kwa wale waliojitunza saa hii wanasoma hizi comment wakiwa wanachokonoa meno huku akiwa amefunga jicho moja na kumwambia mume/mchumba wake hubby/mpenzi hebu soma hii yaani jamii forum bana anampa asome ila wewe akikuuliza unasoma nini mbona umechukia mpenzi utamwambia honey yaani watu wanaweka picha za ajabu mtandaoni sijui wakoje.Unazidi kumdanganya tena hiyo ndiyo tofauti kwa hii post.
Ha ha ha ha mkuu
 
"Wengi wameolewa na Machenza, ndoa zao wameshindwa kuzitunza,
Na wangapi wameolewa na Machungwa ndoa zao mpaka sasa wanazichunga...." (in Sumalee's voice)
 
Hahaha brother ukililia saana utapewa the chinese version of it
Chunga sana ni matapeli sana wengi wao!

Maumivu ya bikra yalivyo,
Hlf mtu atengeneze tena ya kichina mmmh namuona ana Moyo sana,
Kwa kipi, kwa lipi, ili iweje.
 
Kukaa wenyewe siyo Suluhisho kama uliharibu ndiyo hivyo hiyo dhambi itakuandama kisogoni mpaka siku ya mwisho no way maji yamasha mwagika kwa wale waliojitunza saa hii wanasoma hizi comment wakiwa wanachokonoa meno huku akiwa amefunga jicho moja na kumwambia mume/mchumba wake hubby/mpenzi hebu soma hii yaani jamii forum bana anampa asome ila wewe akikuuliza unasoma nini mbona umechukia mpenzi utamwambia honey yaani watu wanaweka picha za ajabu mtandaoni sijui wakoje.Unazidi kumdanganya tena hiyo ndiyo tofauti kwa hii post.
Loool kwaiyo nyie ndo hamstahili kujitunza aaah,,yan unajua kuna vtu vingine vikiongelewa mtu inabidi ushangae sasa kupata shida na mapovu mengi kutoka ni uwende utafute hao wenye bikra maana hao ndo waliojitunza
 
Huu mfumo dume unadumaza tu akil za watu wasiojielewa kwakwel reasoning capacity inakuwa ndogo sana ndiyo maana unakuta msichana akiachana na mume wake mnaanza maneno ana tabia mbaya na bra bra nyingine ni sawa na hapa mnasahau kuwa hata wanaume huwa wanakosea kwakwel tena tu, aya mtu akikwambia sitaki kudo mpaka ndoa pia mtakuja kufungua uzi sitaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia yan hamna jema
 
Wanaume kama mabinti.

Kutwa kucha kulialia.

Unataka kumpangia mtu maisha yake?

Kukosa bikra ndiyo nongwa?

Kama imemtoka kwa kupanda farasi au kubakwa?
Ni wajinga maana wanafikiria apo tu hawaoni mbali kabsa ndiyo maana wanaume wengi saivi hata malezi ya familia zao ni zero kulia lia tu.
 
Again malalamiko kuhusu wanawake...duh hivi hua wanawake hatuna mambo mazuri mtusifie japo siku moja moja?...vibaya hivyo wajameni..
Mtoa mada ana lake jambo, wadada nyie ni viumbe muhimu sana kwetu, bila ninyi mambo hayaendi na dunia haikaliki, ndo maana tuwaonapo tunawatumbulia macho.
Mwanaume rijali bila mwanamke mambo hayaendi kabisaa
 
Hicho kitu kinachoitwa bikra mbona na kamshipa kadogo dhaifu kasiko na maana yoyote? In fact mwanamke akizidi miaka 20 bado ana hako kamshipa kanakoitwa bikra huwa namuona ni mgonjwa mchoyo mbinafsi au labda anatumia kule kwa shetani
Mmmmmmhhhhh.....
 
Back
Top Bottom