LWENYI
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,839
- 2,173
Haaa unashangaa the chinese version???Maumivu ya bikra yalivyo,
Hlf mtu atengeneze tena ya kichina mmmh namuona ana Moyo sana,
Kwa kipi, kwa lipi, ili iweje.
Hiyo ni purposely for utapeli kutakua na milio ya hapa na pale kumbe wizi mtupu!
Yaani hii nchi na kizazi hiki kipya kina shida sana!
Maana mara mgagani mara sijui nini aaaaah yaan wizi mtupu.

