Malengo ya bikira ni nini? Ni uzio tu unaotakiwa kuondolewa nothing elsebikira imewekwa kwa malengo maalum sasa ww ichezee uone huko mbeleni,ndo chanzo cha kuharibu mahusiano mbeleni,nakushauri kaa na aliekutoa

Wakuu,
Poleni na majukumu ya kila siku,
Kwanza nitangulize samahani kwa dada zangu kwa kuzungumzia bikra ni hivi!
Kwa kweli mimi nakuwa bored sana haswa pale unapokiwa na demu alafu anaanza kujishebedua mara ooo mimi mwanaume sijui ataanzia wapi kunitongoza na sijui wewe nimekukubaliaje wakati huo huo bikra ilishatolewa kitambo huwa namdharau kabisa au anakwambia mimi siolewi mpaka harusi na kukulazimisha kumuoa kwa harusi wakati bikra yenyewe hana bikra watoe wengine harusi nifunge mimi.
Ninajua wengi wetu pengine lina wauzi kama mimi ila kumwambia unaona atajihisi hovyo mno.Nimacho taka kusema kama unajijua wewe ni msichana na upo ama umeokewa au na mchumba acha kujishenedua sana kuhusu hilo wakati hakukuta na bikra kwa kweli inaboa sana acha niseme haswa ukizingatia swali gumu kumuuliza ni vp ulitoa bikra hongereni wanawake mliojitunza na kuolewa bikra.
kwa mda maalum na lengo maalumMalengo ya bikira ni nini? Ni uzio tu unaotakiwa kuondolewa nothing else
nipo nae sasa hivi siwezi kumuacha......ndo maana mnakua kwenye mahusiano mnalia lia tu,kutokua bikira kuna shusha hadhi na heshima kwa mwanaume wako,sema wengi hua hawasemiHaya. Napenda tu kufahamu kama uliyemtoa ndio upo nae sasa? Au unaye aliyetolewa na mwanaume mwingine?
huna bikra tulia tuli usisumbue wala kudekea watu hiyo mikakati yako imara kaa nayo rohoniKwahiyo mtu asiwe na mikakati imara kuhusu mahusiano na suala na ndoa kiujumla kisa hana bikra? Really?! Unless you should specify exactly on the intended group.
huna bikra tulia tuli usisumbue wala kudekea watu hiyo mikakati yako imara kaa nayo rohoni huna haki kabisaKwahiyo mtu asiwe na mikakati imara kuhusu mahusiano na suala na ndoa kiujumla kisa hana bikra? Really?! Unless you should specify exactly on the intended group.

Ha ha ha hongera. Heshima na bikira vitu viwili tofauti. Nimemalizanipo nae sasa hivi siwezi kumuacha......ndo maana mnakua kwenye mahusiano mnalia lia tu,kutokua bikira kuna shusha hadhi na heshima kwa mwanaume wako,sema wengi hua hawasemi
heshima kwenye mahusiano na sio vingine,utapata heshima zote ila sio kwenye mahusiano,hapo ndipo utaanza kubadili wanaume kama nguoHa ha ha hongera. Heshima na bikira vitu viwili tofauti. Nimemaliza
basi hakuna kingineKwahiyo kama mtu Hana bikira awe malaya tu?
Mimi nawapenda sana wanawake hasa wewe.Again malalamiko kuhusu wanawake...duh hivi hua wanawake hatuna mambo mazuri mtusifie japo siku moja moja?...vibaya hivyo wajameni..
Wakuu,
Poleni na majukumu ya kila siku,
Kwanza nitangulize samahani kwa dada zangu kwa kuzungumzia bikra ni hivi!
Kwa kweli mimi nakuwa bored sana haswa pale unapokiwa na demu alafu anaanza kujishebedua mara ooo mimi mwanaume sijui ataanzia wapi kunitongoza na sijui wewe nimekukubaliaje wakati huo huo bikra ilishatolewa kitambo huwa namdharau kabisa au anakwambia mimi siolewi mpaka harusi na kukulazimisha kumuoa kwa harusi wakati bikra yenyewe hana bikra watoe wengine harusi nifunge mimi.
Ninajua wengi wetu pengine lina wauzi kama mimi ila kumwambia unaona atajihisi hovyo mno.Nimacho taka kusema kama unajijua wewe ni msichana na upo ama umeokewa au na mchumba acha kujishenedua sana kuhusu hilo wakati hakukuta na bikra kwa kweli inaboa sana acha niseme haswa ukizingatia swali gumu kumuuliza ni vp ulitoa bikra hongereni wanawake mliojitunza na kuolewa bikra.
Mkuu umeniacha njia panda. Dubai na Japan zinasimamia tafasiri gani?Mimi bwana niliamua kwa moyo safi ku specialise na dubai huko nyuma niliwahi kununua Japan kama mara mbili aah ni ghali sana so am happy na dubai.