Baadhi ya wanawake na bikra

Baadhi ya wanawake na bikra

Sakayonsa upo very wrong mtu wangu!Kwani kuoa lzm utoe wewe bikira?Au mwanamke ashindwe kumringia jamaa yake sababu hana bikira?

Ahahaha bikira hamna siku hizi so kama una amua kuoa ww oa tu mpwa
 
aisee hii ndio jf wakifunga wanakuja kama wavamizi wakifungua huwaoni aisee hahahahahahaaaaaaaaaaaa
 
Kama unatak bikra kaoe mwanamke wa kikurya man au mzanzibar na acha kusumbua wengne au uoe mtoto chn y miaka 15
 
Malengo ya bikira ni nini? Ni uzio tu unaotakiwa kuondolewa nothing else
Ni uzio unaotakiwa kutolewa na Mume wako,na suala la kumtoa binti bikira lipo kiroho zaidi na ni maagano, ila tu nasisi Wanaume pia tunawabikiri mabinti wa watu na kuwaacha....thats why binafsi siwezi kuwapa lawama Wanawake pekee.
 
Wanaume kama mabinti.

Kutwa kucha kulialia.

Unataka kumpangia mtu maisha yake?

Kukosa bikra ndiyo nongwa?

Kama imemtoka kwa kupanda farasi au kubakwa?
 
Mbo
Wakuu,

Poleni na majukumu ya kila siku,

Kwanza nitangulize samahani kwa dada zangu kwa kuzungumzia bikra ni hivi!

Kwa kweli mimi nakuwa bored sana haswa pale unapokiwa na demu alafu anaanza kujishebedua mara ooo mimi mwanaume sijui ataanzia wapi kunitongoza na sijui wewe nimekukubaliaje wakati huo huo bikra ilishatolewa kitambo huwa namdharau kabisa au anakwambia mimi siolewi mpaka harusi na kukulazimisha kumuoa kwa harusi wakati bikra yenyewe hana bikra watoe wengine harusi nifunge mimi.

Ninajua wengi wetu pengine lina wauzi kama mimi ila kumwambia unaona atajihisi hovyo mno.Nimacho taka kusema kama unajijua wewe ni msichana na upo ama umeokewa au na mchumba acha kujishenedua sana kuhusu hilo wakati hakukuta na bikra kwa kweli inaboa sana acha niseme haswa ukizingatia swali gumu kumuuliza ni vp ulitoa bikra hongereni wanawake mliojitunza na kuolewa bikra.
Mbona bikra nyingi, sema hujui kurenga
 
Duh mna agenda ya kuwakimbiza wanawake jf mbona kila siku wao tu? Wakuu mtaua watu kwa presha aisee
 
hao madada nawaogopa sana binafsi kuna mdada kabadilisha maisha yangu kwa ushenzi kama huo,nafuga miaka miwili ooh mimi bikra ooh mama kanikataza ooh me geti kali hata kukutana shida sana ooh naogopa sijawahi naskia inauma ooh nkikupa utaniacha ,,,loh siku imewadia basi hata mlango wa kuingia uwanja wa taifa basi mwembamba!i hate these kind of women!ni mashetani! cha ajabu mtoto mwenyewe alikua mdogo tu ,from form two paka form four tayari ushakua ovyo sipati picha saivi yukoje mungu amsaidie!
Hahahahahaha umenichekesha sana mkuu eti hata mlango wa uwanja wa taifa mwembamba!!
 
Back
Top Bottom