Baadhi ya wanawake facebook ni matapeli

Leo nikiwa naendelea kusafu FB, mara nikapokea ombi la urafiki kwa binti mmoja.

Mara baada tu ya kumkubali maongezi yalikuwa hivi.

Binti. Hi
Mimi. Hi mambo
Binti. Unapatikana wapi
Mimi. Napatikana Dar
Binti. Mimi napatikana Arusha ila nyumbani Dar.
Mimi. Okay. gud
Binti. Sikia basi nitumie elfu mbili kwenye mpesa ili tuchati kwa watsap saivi ntakua ofline.
Mimi. Hilo haliwezekani. Kwani mimi ndio nimekwambia ninashida na wanawake sana.
Binti. Okay
Mimi. Mnaacha kufanya kazi mnawaza kufanya utapeli wa kwasababu mmepewa papuchi.
Mimi. Hivi hamwigi mifano kwa kina Shishi na akina Zuchu wanavyojituma kutafuta. Mtategemea hizo papuchi mpaka lini.
Binti. Fara we kwanini ninyi msijilinganishe na akina mondi.
Mimi. Tafuta jitume achana na mambo yakutegemea papuchi.
Mimi. Nikaenda kwenye profile yake nika unfriend haraka haraka.

Kama yupo humu ndani ujumbe umefika.

Najua kuna watu watabeza nikisema elfu 2. Hawa matapeli wa Facebook wanatumia akaunti nyingi. Anachofanya anaomba elfu mbili kwa watu zaidi ya 50 kwa siku. Zidisha hapo ni sh ngapi. Na hiyo ndio hesabu yake kila wiki.
Hivyo ndivyo wanavyofanya, huyu sio kwanza mimi huyu ni wa nne.
tapeli kweli hawezi omba 2000/ tu jombaa wale wana mitego ya kubutua kweli kweli
 
Wanawake wa sasa wamekaa macho juu kuna dada namfahamu kabis anamexa ARV , kila anayerusha pini anamkubali ... Na hasisitizi kuvaa kondomu ... Mech zake mchana ... Yupo fb na jf wale wapenda vitonga hali ngumu mitaani ndio maana wengine wanauza mpk video za ngono ..Tuwena nidhamu kwenye hela vinginevyo tutapiga mack time sana kwenye uchumi

Dah anawaua live hela inahitajo nidhamu Sana..
 
Alikuwa kwenye utafutaji katika uchumi wa Kati🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanawake wa sasa wamekaa macho juu kuna dada namfahamu kabis anamexa ARV , kila anayerusha pini anamkubali ... Na hasisitizi kuvaa kondomu ... Mech zake mchana ... Yupo fb na jf wale wapenda vitonga hali ngumu mitaani ndio maana wengine wanauza mpk video za ngono ..Tuwena nidhamu kwenye hela vinginevyo tutapiga mack time sana kwenye uchumi
Umejuaje Kama sio.Umbea..mwanaume.mzima unakaza KUWAZA Kama wanao.mtongoza wanavaa condom or not...

Tatizo lako UMBEA NA KUKOSA LA.KUFANYA...Badilika.mkuu waza yako
 
Naona nimekulega na tabia zako hizo za kugawa kwa hela badilika . Vinginevyo utaendelea kufumuliwa marinda
 
Elf mbili kama elf mbili kweli tumefika pabaya
Ajabu sasa unamfungulia uzi kisa umeombwa 2000 ebu njoon mnisaidie kushang'aa huku
2000 pekee ndo imekuleta mbio kufungua siridi? dah! huyo wala si tapeli alikua na shida ya vocha tu ungemsaidia mkuu, matapeli wanamitego mikali then unapoingia wanakupiga pesa ndefu na sio kibuku mbili.
Una hali mbaya sana mkuu, yani kuombwa sh elfu 2 tu yakakutoka maneno yote hayo
Mnasikitisha sana! Mnadhani kuombwa hela(hata iwe buku) na kutoa ovyo ndio uanaume? Hivi mnadhani huyo aliyeomba buku mbili ni mwanamke kweli? Unatoaje hela kwa mtu usiyemjua?

Again, mnasikitisha!
 
wewe ndio unasikitisha kuobwa hela iwe buku au jero nikitu chakawaida na unaiari kutua au kuacha kinachotushangaza ni baada ya kuobwa hela kwanza amemaliza maneno kwa huyo dada ameona haitoshi akaja kulalamika huku huo niumasikin wa nafc ukiwemo wewe wewe hutoi na unazuia na wengine wasitoe
 
Hivi unajua tendency ya hawa wanaoomba hela huko mitandaoni inavyoongezeka? Asiookuja mtu kuleta awareness si hii tabia itaongezeka? Au unadhani kaleta ili kujionyesha, mbona vijana mnakuwa wajinga hivi?

Bado nasisitiza mnasikitisha!
 
hulazimishwi kutoa unatoa kwa mahaba yako au kwa ujinga wako kumbuka hapa ni mjin mkuu
 
wewe ndio unasikitisha kuobwa hela iwe buku au jero nikitu chakawaida na unaiari kutua au kuacha kinachotushangaza ni baada ya kuobwa hela kwanza amemaliza maneno kwa huyo dada ameona haitoshi akaja kulalamika huku huo niumasikin wa nafc ukiwemo wewe wewe hutoi na unazuia na wengine wasitoe
tatizo hawaombi elf 2 kwa mwanaume mmoja, anaweza kuwaomba kma wanaume 10, mwisho wa siku wote wakituma mwanamke anakua kaingiza elf 20 bila hata kutoa jasho.

huo ni utapeli kama mtoa mada anavyosema.. namuunga mkono
 
umeshasema anaomba na kwa payo lako ukiona maziwa saa 6 au tako kubwa unatoa narudia unatoa mwenyewe bila kulazimishwa waache watukamue tu mtu inakuwa hushuhudii nyufa km fundi mwashi kila nyufa unayoina eti hii nikiweka chuma hapa haha ha mkuu huko saw ila nachangasha baraza tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom