G
guest-1790917349
Guest
Kabisa mkuu,wapo waliotulia!Ndo maisha ya familia nying Africa.... Watu wanadhan kila mwanaume ana tamaa kama walivyo wengine, Wengine ni Wacha Mungu na wanarizika na wake zao...
Na ukipata mke anaejitambua akasimama vyema kwny nafasi hakuna habari zamichepuko
my right to receive anything based in the blood of JESUS