Baadhi ya wanaume mnafurahisha sana

Baadhi ya wanaume mnafurahisha sana

Woga wa maisha ndio unafanya watu wapange uxazi.
Lakini watoto wakiwa wengi ndio akili itakukaa sawa.
Utafanya Kila kazi ili kutimiza mahitaji.
Na maendeleo utapata kwani kwa kufanya kazi kwa bidii unaongeza kipato.

Sijawahi sikia kupunguza idadi ya watoto kunakufanya uwe tajiri.
Ni uvivu tu.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna point hapa! Ila ukiwa na watoto wengi alafu ukose kipato cha uhakika lazima ufe mapema tu.

Tena utachoka, utachakaa alafu utadead
 
Kuna point hapa! Ila ukiwa na watoto wengi alafu ukose kipato cha uhakika lazima ufe mapema tu.

Tena utachoka, utachakaa alafu utadead

Mkuu, tutafute hela.
Ukizipata anza kuzaa na kuongeza kuzitafuta. Ukiwa huna hela usizae mtoto hata mmoja
Angalau unapoanza kuzaa uwe na uwezo wa kulea watoto wawili.
Baada ya hapo ongeza kipato na idadi ya watoto.
Mtu anazaa watoto wawili tu anaridhika na utafutaji unaishia hapo.

Hakuna tajiri anayepatikana kwa kuwa na watoto wachache.
Kazi na bidii ndio zinafanya mtu awe tajiri.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe huwa mnategesha kusudi et? safari hii ukinasa nahama nyumba
 
Back
Top Bottom