Mnakuwa na kero mno na pia wengine wanatisha na hata ajipambe hapendezi kiukweli mimba tunayoifurahia ni ile ya kwanza tuNinadhani ni woga tu lakini uhalisia ukifika wanafurahia
Hata mkiwa kwenye ndoa, ukimfahamisha habari za ujauzito ana an za kungāaka ā yaani umejiachaia mpaka umepata mimba, hatuko kwenye position ya kulea sasa hivi, si unajua tunajenga, gari hii imechakaa tuanahitaji kubadilisha gari, mwingine mimi ninaanza shule September hii habari itaharibu programme yanguā.
Sasa subiri mtoto azaliwe, akiwa wa kiume utasikia nitakuwa ninaenda kunyoa kwa kinyozi with my boy. Akiwa wa kike utasikia huyu ndio mama yangu.
Sasa kama na wanawake tungekua na akili za kushikiwa huyu your boy au mama yako mngewaona lini!
Though lengo lako lawezekana ni jema always kumbuka kuzaa ni kupanga...coz no man anataka kufeli katika kuprovide mahitaj ya mtoto . that's why hatupend surprise kwenye masuala ya uzaziHata mkiwa kwenye ndoa, ukimfahamisha habari za ujauzito ana an za kungāaka ā yaani umejiachaia mpaka umepata mimba, hatuko kwenye position ya kulea sasa hivi, si unajua tunajenga, gari hii imechakaa tuanahitaji kubadilisha gari, mwingine mimi ninaanza shule September hii habari itaharibu programme yanguā.
Sasa subiri mtoto azaliwe, akiwa wa kiume utasikia nitakuwa ninaenda kunyoa kwa kinyozi with my boy. Akiwa wa kike utasikia huyu ndio mama yangu.
Sasa kama na wanawake tungekua na akili za kushikiwa huyu your boy au mama yako mngewaona lini!
hahahaHata mkiwa kwenye ndoa, ukimfahamisha habari za ujauzito ana an za kungāaka ā yaani umejiachaia mpaka umepata mimba, hatuko kwenye position ya kulea sasa hivi, si unajua tunajenga, gari hii imechakaa tuanahitaji kubadilisha gari, mwingine mimi ninaanza shule September hii habari itaharibu programme yanguā.
Sasa subiri mtoto azaliwe, akiwa wa kiume utasikia nitakuwa ninaenda kunyoa kwa kinyozi with my boy. Akiwa wa kike utasikia huyu ndio mama yangu.
Sasa kama na wanawake tungekua na akili za kushikiwa huyu your boy au mama yako mngewaona lini!

unaona sasa...
Akili zao wanazijua wenyewe, inabidib"tuishi nao kwa akili" maana hamna namna.
š¤£š¤£ Hii mpya
Akili zao wanazijua wenyewe, inabidib"tuishi nao kwa akili" maana hamna namna.
Hizi family planning unaziamini sana? Kwanza wengine tunaziogopa mambo ya kukata period kabisa, hapana.Africa bado sana,yaan watu wapo kwenye ndoa halafu itokee mimba as a accident?, you people be serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tutafanyaje na ndio mmeamua hivyo, acha tu tuishi nao kwa akili.Hii mpya
wanaume mkuje mtueleze ni kwa nini hii taarifa hamuizoei ?? Nina shoga yangu juzi alimwamibia mumewe kua ana mimba mwanaume alifoka utazan kampa mwanafunzi mimba.. Kuna mmoja alitamani sana mtoto mwingine. Wale wakubwa walikuwa wameshaanza shule. Mume hakutaka kabisa zile kero za kuamka usiku zirudi tena.![]()
wanaume mkuje mtueleze ni kwa nini hii taarifa hamuizoei ?? Nina shoga yangu juzi alimwamibia mumewe kua ana mimba mwanaume alifoka utazan kampa mwanafunzi mimba..
Mna nini lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah tusamehe bure, kwa niaba ya wenzangu tusamehe tuHata mkiwa kwenye ndoa, ukimfahamisha habari za ujauzito ana an za kungāaka ā yaani umejiachaia mpaka umepata mimba, hatuko kwenye position ya kulea sasa hivi, si unajua tunajenga, gari hii imechakaa tuanahitaji kubadilisha gari, mwingine mimi ninaanza shule September hii habari itaharibu programme yanguā.