Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,350
Hata mkiwa kwenye ndoa, ukimfahamisha habari za ujauzito anaanza kung’aka “yaani umejiachaia mpaka umepata mimba, hatuko kwenye position ya kulea sasa hivi, si unajua tunajenga, gari hii imechakaa tuanahitaji kubadilisha gari”
Mwingine atasema “ninaanza shule September hii habari itaharibu programme yangu”.
Sasa subiri mtoto azaliwe, akiwa wa kiume utasikia, “nitakuwa ninaenda kunyoa kwa kinyozi with my boy.” Akiwa wa kike utasikia “huyu ndio mama yangu”.
Sasa kama na wanawake tungekua na akili za kushikiwa huyu your boy au mama yako mngewaona lini?!