Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

Tena Bora limesemwa hili
Na hili nalo mkalishuhukikie
Bila haya wala soni anataka akashinde kwa mwanamke na Kodi halipi yeye... Hivi kumbe wajaluo ndivyo mlivyo

Haya umekataliwa kuja mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu bado unaomba tu ujeee 🀣🀣 hivi mmesahau akufukuzaye hakwambii toka
Maisha yenyewe ya kung'ang'ania kama luba yanatokea wapi
 
Tena Bora limesemwa hili
Na hili nalo mkalishuhukikie
Bila haya wala soni anataka akashinde kwa mwanamke na Kodi halipi yeye... Hivi number wajaluo ndivyo mlivyo
Ukiona hivyo ujue hao ndio hadhi yako na wapo kwenye cycle yako , na ndio saizi yako , jinsi ulivyo utapata mtu wa hadhi yako.
 
Ukiona hivyo ujue hao ndio hadhi yako na wapo kwenye cycle yako , na ndio saizi yako , jinsi ulivyo utapata mtu wa hadhi yako.
Sijakataa
Hoja ya msingi na ya Uzi huu ni wanaume kuwa wepesi kwenda nyumbani kwa wanawake kirahisi rahisi tu
So hizo reaction zingine zitunze kwa ajili ya mada itakayohusu Hivyo
 
Sijakataa
Hoja ya msingi na ya Uzi huu ni wanaume kuwa wepesi kwenda nyumbani kwa wanawake kirahisi rahisi tu
So hizo reaction zingine zitunze kwa ajili ya mada itakayohusu Hivyo
Ndio maana nikasemaje ukiona mwanaume anafanya hivyo jua huyo ndio saizi yako nakaona anakumudu vzuri tu .

Note; sio kila mwanaume atafanya hivyo kwa kila mwanamke , yaani mpaka mwanaume akufanyie hivyo jua ameshakupima vizuri sana.
 
Kwa hiyo mkuu mpaka leo unaamini mwanamke anakuwa na mtu mmj as long akiombwa namba anatoa
 
Wanakuja kusema eti wanawake tuna roho mbaya dah! Ila wanaumeπŸ˜‚πŸ™Œ
 
Wanaume wa dar ugumu wa maisha umewafanya wawe wapumbavu sana
 
Mkaribishe tu anayekulipia kodi.
 
Daaah pole mzee,hii inatokeaje,samahani lakini.
 
Mpangie halafu uwe na full authority hiyo utakupa konfidensi.Ni hatari sana hii wanaume wenzangu,maana unaweza ukafungua ukurasa mpya wa kumbukumbu mbaya yakikutokea yale ya kukudhalilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…