Basi niwaelezee kisa kimoja kitakachowafanya mnielewe zaidi. Siku ya siku hapo kitambo nina miadi na Mwanaume A. Mwanamke nikajiandaaaaa weeee, udiiiii na nikaogea mbuni. I like my natural smell sitaki hapo ma body shower ya kazi gani? Mwanamke unukie harufu yako. Nikawasha mishumaa yangu, nikaweka mambo sawa, nasubiri leo ndio leo. Macho yanafunga hayafunguli, sio kwa ulevi ila kwa hali yangu taabani. Subiriiii weeeee....mara simu ngriiiii ngriiii ngriiiii. Nikasema safi sana najua anakata kona ya mwisho anakuja. Kwani nilipokea simu nimelala? Nikasimama miguu inanicheza cheka yani imelegea hata kusimama tabuuuuu. Nikasema leo hata sitaki romance, ndi ndi ndi mara 3 tu mimi nimeshafika pale juuuuuu mwisho wa mchezo. Hapo ndio nitazimuka kidogo akili imeniruka.
Nikapokea simu. Lahaaaullaaaaaaa.....hiyo tone aliyoanza nayo tu my legs went jelly nikajitupa kitandani sikuweza hata kujibu chochote. Unajua ooohhh emergency, unajua oooh sijatoka kazini....ohhhhhh storiiiii yani hata simsikii tena. I almost passed out. Nizimie kabisa nizimike Salad miye. Kwahiyo? Yani hata sikuweza kumjibu hapo unasemaje sasa unaweza kumtukana. Siwafichi, nilikata simu chozi lilinitoka mwanamke. Mamaaaa, huyu baba vipi? Anajua mwenzie nimejiandaa, hapo nilishapigwa tarehe za ukweli? Yani Mwanaume A alikuwa ana tarehe jamani utadhani unaenda kliniki ya ujauzito mwezi kwa mwezi.....nikasema leo nafwaaaaa.
Nilielewa kumbeeee ndio maana wanaume hawaoni kinyaa kulala na changu. Hivi ndio unalalajeeee? Yani nilitamani teja aje dirishani kwangu aseme - oyaaaaa, mshkaji vipi hapo? Tejaaaaa, au mvuta bangeeee, mradi anayo inasimama. Hapo sasa nilifanyaje najua mwenyewe na siwaambii katu? Yani miyeyusho hiyo kila siku nani ataivumilia? halafu ndio unanuniwa? Kazi tupige tu kama professionals, hayo ya nani kalala na nani yanahusu?