Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

Gonjwa gani bwana, pamoja na speed zangu tunapimana kwanza na tunatumia kinga.
Mwezi mara moja halafu upige kavu?
Mwanamke mmoja aliniambia dia jitahidi basi panga ratiba vzr, angalau kwa uchache mara mbili kwa wiki yaani mara nane kwa mwezi. Duuh nikashangaa utafikiri kawa mke sasa
 
Japo maelezo ni mengi ila nimejitahidi kuyasoma ....
Kuna jambo labda ulimkosea ila kashindwa kukueleza .... unajua sometimes unaweza kuwa kwenye mahusiano na mtu likatokea jambo ambalo unashindwa kuliweka wazi kwa mwenzi wako ... ukaamua kusepa kiaina ...
 
Kwa sisi wapenda siasa utasikia na stori ooh mwaka huu ukawa wametisha and so on, huku mwenzako anaugulia kunako.
Ukweli ndio huo, unaona kabisa mwanamke yuko kwennye joto halafu unaanza story za ajabu ambazo hazihusiani na mapenzi, hata kama wewe mwanamme hujisikii ku DO basi, ongeleeni hata vya mapenzi, potelea mbali hata mshikeshike kiduchu sasa unakuta jibaba ndio limenuna au anaanza kuongelea masuala ya miradi yake loooooooooooooooo!
 
We salad nawe uachage kuchukua mizee mibabu ishakuwa used hadi ikachoka.
Najua hapo ulijipiga selfie! Hahhaaa
Basi niwaelezee kisa kimoja kitakachowafanya mnielewe zaidi. Siku ya siku hapo kitambo nina miadi na Mwanaume A. Mwanamke nikajiandaaaaa weeee, udiiiii na nikaogea mbuni. I like my natural smell sitaki hapo ma body shower ya kazi gani? Mwanamke unukie harufu yako. Nikawasha mishumaa yangu, nikaweka mambo sawa, nasubiri leo ndio leo. Macho yanafunga hayafunguli, sio kwa ulevi ila kwa hali yangu taabani. Subiriiii weeeee....mara simu ngriiiii ngriiii ngriiiii. Nikasema safi sana najua anakata kona ya mwisho anakuja. Kwani nilipokea simu nimelala? Nikasimama miguu inanicheza cheka yani imelegea hata kusimama tabuuuuu. Nikasema leo hata sitaki romance, ndi ndi ndi mara 3 tu mimi nimeshafika pale juuuuuu mwisho wa mchezo. Hapo ndio nitazimuka kidogo akili imeniruka.

Nikapokea simu. Lahaaaullaaaaaaa.....hiyo tone aliyoanza nayo tu my legs went jelly nikajitupa kitandani sikuweza hata kujibu chochote. Unajua ooohhh emergency, unajua oooh sijatoka kazini....ohhhhhh storiiiii yani hata simsikii tena. I almost passed out. Nizimie kabisa nizimike Salad miye. Kwahiyo? Yani hata sikuweza kumjibu hapo unasemaje sasa unaweza kumtukana. Siwafichi, nilikata simu chozi lilinitoka mwanamke. Mamaaaa, huyu baba vipi? Anajua mwenzie nimejiandaa, hapo nilishapigwa tarehe za ukweli? Yani Mwanaume A alikuwa ana tarehe jamani utadhani unaenda kliniki ya ujauzito mwezi kwa mwezi.....nikasema leo nafwaaaaa.

Nilielewa kumbeeee ndio maana wanaume hawaoni kinyaa kulala na changu. Hivi ndio unalalajeeee? Yani nilitamani teja aje dirishani kwangu aseme - oyaaaaa, mshkaji vipi hapo? Tejaaaaa, au mvuta bangeeee, mradi anayo inasimama. Hapo sasa nilifanyaje najua mwenyewe na siwaambii katu? Yani miyeyusho hiyo kila siku nani ataivumilia? halafu ndio unanuniwa? Kazi tupige tu kama professionals, hayo ya nani kalala na nani yanahusu?
 
We salad nawe uachage kuchukua mizee mibabu ishakuwa used hadi ikachoka.
Najua hapo ulijipiga selfie! Hahhaaa

Mzee wapi bwana kijana tu anadai.
Yamepita hayo ...ila bwana nature haikutupi. The only difference between A and B ni kuwa mmoja anapiga vitatu vya kama dakika 8 hivi, mwingine anapoga kimoja full kama dakika 20 na nyongeza. Yale yale tu mradi napata ninachokitaka.
Tusizinguane.
 
Japo maelezo ni mengi ila nimejitahidi kuyasoma ....
Kuna jambo labda ulimkosea ila kashindwa kukueleza .... unajua sometimes unaweza kuwa kwenye mahusiano na mtu likatokea jambo ambalo unashindwa kuliweka wazi kwa mwenzi wako ... ukaamua kusepa kiaina ...

Si aseme tu? Kama hawezi asepe? Ndio nini kutaka kunipa ugonjwa wa kucheka?
 
Ndi ndi ndi kuna mke wa kaka angu kaachika kisa anataka kukojozwa "kila siku" bila kujali mwenzake kachoka na kazi au la.

Alikokimbilia nako kazalishwa na kuachwa.

Ndi ndi ndi.....

Jifunzeni kuwa wavumilivu sex ni burudani sio chakula ule kila siku.
 
Mzee wapi bwana kijana tu anadai.
Yamepita hayo ...ila bwana nature haikutupi. The only difference between A and B ni kuwa mmoja anapiga vitatu vya kama dakika 8 hivi, mwingine anapoga kimoja full kama dakika 20 na nyongeza. Yale yale tu mradi napata ninachokitaka.
Tusizinguane.
Hahahahaaa we salad sasa umeanza usanii
 
Hata chakula siyo lazima ushibe kila siku.
Ndi ndi ndi kuna mke wa kaka angu kaachika kisa anataka kukojozwa "kila siku" bila kujali mwenzake kachoka na kazi au la.

Alikokimbilia nako kazalishwa na kuachwa.

Ndi ndi ndi.....

Jifunzeni kuwa wavumilivu sex ni burudani sio chakula ule kila siku.
 
Hahahahaaa we salad sasa umeanza usanii

Wala, nataka tu kuwaambia wanawake out there, dont settle for less, mwaka mzima? Mwezi mara moja kama salary? Unavumiliaaaa mpaka unachokaaaa. Kisa?
 
Kumbe kelele zote shida ni kukojozwa tu....Mi ningekuwa mwanaume A ningekuambia nimeisha kukojoza sana mtoto wa kike...
 
Kumbe kelele zote shida ni kukojozwa tu....Mi ningekuwa mwanaume A ningekuambia nimeisha kukojoza sana mtoto wa kike...

Kukojozwa ndiyo kwani tulikutana tuuze karanga au tucheze upatu?
Hivi unakaa Ke na Me kazi ni nini? Whatsapp chat? Zawadi za Valentine? Tena sitaki zawadi yoyote ....Ndi Ndi Ndi
Kweli jando lirudi full swing
 
Huyu "A" itakuwa kakojoza mke wa mtu mtego ukanasa Jogoo hawiki tena maana hizj dawa zipo sana huku kwetu.

Ukipiga mke wa mtu jogoo anapotea kabisa au hawiki tena mpaka akaombe msamaha kwa mhusika.
 
Bora hata mnafikiri mmemwelewa. Nimesoma na kurudia rudia wakati nasoma nikabaki na mixed feeling. I hope u na shida pia. Utoto au kutojitambua. Jirekebishe tu. kuna point utajutia unalofanya.
 
Mzee wapi bwana kijana tu anadai.
Yamepita hayo ...ila bwana nature haikutupi. The only difference between A and B ni kuwa mmoja anapiga vitatu vya kama dakika 8 hivi, mwingine anapoga kimoja full kama dakika 20 na nyongeza. Yale yale tu mradi napata ninachokitaka.
Tusizinguane.
Hahaha..dah hakyanani we hatari. Mmoja 8mins x 3 na mwingine 20mins nonstop. Huna shida mradi ushushe wafilipino.

Nadhani huyo A wasn't attracted to you. Alikuwa na mtu wake, wewe ulikuwa backup generator, lakini hakutaka kukuachia coz aliona B ambaye ni rafiki angekuchukua.
 
Hata iwe backup generator au back up file mimi wala sijali. Mbele kwa mbeleeeee.....
Angesema ana mtu wake kwani ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom